Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

Raha ya chuo first year bhana ila ukipat sup unaanza kupotea😂😂 naona SUA hamna ubishoo
 
oho wacha ww mwnye A ya 78 na mwenye A ya 80 wanatofauti kubwa sana😅. C ni 50. bado practical test nazo yan ilimuradi ufel tu😂
Sio kwelu kuwa hivyo vipimo vimewekwa ilimradi ufeli....mbona kuna wanao faulu kwa vipimo hivyo hivyo...ukifanya mchezo ukafikiri bado uko shule ya upili utafeli kweli
 
Karibuni sana madogo.. Sisi tupo tunaangaika na Probations za kutosha.. SUA naipenda sana Ila SUA ni ngumu mno.. Hapa hata kama MTU hupendi masherehe Ila ukimaliza hapa na ukavaa Jooh lazima hyo siku ushangilie na kupiga pombe za kutosha... Shikamoo SUA, Shikamoo Freedom square hall
september conference😂😂😂😂😂
 
Ukipata bahati ya kuchaguliwa SUA, nenda kasome kweli....Lakini usiogope sana soma+fanya mambo mengine kwa kiasi.....
Usiogope Sup, ni sehemu ya safari katika masomo yako, hivyo basi unaweza pata ama usipate kikubwa soma kwa bidii
 
Mdogo wangu kachaguliwa sua Kama upo uko naomba kujua Bei za vyumba vyakuishi zinacheza kweny ngapi kwachumba chakawaida
  1. Kawaida sana - 25k mpaka 34k kwa sasa si rahisi kukipata sababu ya population kubwa ya wahitaji.
  2. Kawaida - 35k mpaka 50k vimejaa sana maeneo ya Falkland.
  3. ...............
 
Back
Top Bottom