Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

Mo graphics 2019

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,002
1,453
Heshima kwenu wadau wa JF!

Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA.

Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya kuzingatia n kama ifuatavyo:

Chuo kina hostel chache, hua wanatoa priorities kwa mwaka wa kwanza na Wadada wanaoendelea na masomo. Hivyo kama kukaa Geto sio option kwako basi fika mapema fanya Usajiri ili upatiwe Kitanda chako mapema.

Chuo kiko ndani kidogo. Hivyo hata vyumba vya karibu na chuo ni vichache. So kama unataka kutafta chumba kizuri. Maeneo ya karibu na chuo fanya kufika mapema kabla week ya kwanza haijaisha.

Mwisho niwakaribishe sana Sokoine University of Agriculture.

images%20-%202021-09-22T161212.218.jpg
 
Na wafuate kilichowapeleka maana SUA unaweza disco either kwa CREDIT HOUR or GPA hao wazee hapo hawana huruma

Bora umewaasa. Muhimu ni kua na priorities kwenye shule. The rest inakua as usual. Ila wasiogopa bhana. Mm naamn mtu alie fauru advance hawezi shindwa chuo, labda aamue tu.
 
Karibuni sana madogo.. Sisi tupo tunaangaika na Probations za kutosha.. SUA naipenda sana Ila SUA ni ngumu mno.. Hapa hata kama MTU hupendi masherehe Ila ukimaliza hapa na ukavaa Jooh lazima hyo siku ushangilie na kupiga pombe za kutosha... Shikamoo SUA, Shikamoo Freedom square hall
 
Heshima kwenu wadau wa JF!

Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA.

Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya kuzingatia n kama ifuatavyo:

Chuo kina hostel chache, hua wanatoa priorities kwa mwaka wa kwanza na Wadada wanaoendelea na masomo. Hivyo kama kukaa Geto sio option kwako basi fika mapema fanya Usajiri ili upatiwe Kitanda chako mapema.

Chuo kiko ndani kidogo. Hivyo hata vyumba vya karibu na chuo ni vichache. So kama unataka kutafta chumba kizuri. Maeneo ya karibu na chuo fanya kufika mapema kabla week ya kwanza haijaisha.

Mwisho niwakaribishe sana Sokoine University of Agriculture.

View attachment 1948492View attachment 1948494View attachment 1948493View attachment 1948495
Sokoine university of Agriculture big up
 
Back
Top Bottom