Kwa wana JF ambao hawajawahi kukutana

Mimi nikiutana naye na nikamfahamu wala sitakuwa namda wa kumkumbushia kwan najua na mm nitakuwa nishamjibu majibu ya hovyo tu km yeye alivyonifanyia,hapo tutaiga stori nyingine tu ya huku hapo hayatakuwa na nafasi kwangu.
 
Taswiraaa taswiraaa ....
Taswiraa taswiraaa.....
Inatoa picha, nayo nisafi
mola nipe nafasi japo
hata kidogo uzidi kunionesha....
 
kabla ya kuonana nitamuuliza baadhi ya maswali yangu ya "msingi" km, je, anamiliki bastola?
:focus: ya humu tunayaacha humu labda kama tutakutana kuendeleza mjadala
 
Back
Top Bottom