Kwa wana CHADEMA halisi

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,081
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamani.
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.

Kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye hangefaa kuongoza nchi? ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula?

kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm! hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.

kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind. mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwawekakando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.

jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza! ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo!

kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.

wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.

tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.

wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.
 
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu
 
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu
huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!
 
Hovyoooooooo!, unapo sema tuwape ccm, unajitofautisha vipi na hao unao waita wasaliti?. Hivi kwa katiba ya chadema, mwana chama anatakiwa akae muda gani baada ya kujiunga ili awe na haki ya kugombea nyadhifa mbali mbali ktk chama?????.
 
huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!

Mkuu, kwamba tuwape ccm miaka mitano!!!!!, tehe hee.... Habari za lumumba??
 
Hivi kuna mtu anaweza soma hilo bandiko hadi mwisho? Chadema halisi ni nini....... tulieni October mtapata majibu

Tatizo usimshangae saaana,ila ugonjwa wa kipindupindu ni hatari sana unakimbiliaga hadi kichwani.
 
Hovyoooooooo!, unapo sema tuwape ccm, unajitofautisha vipi na hao unao waita wasaliti?. Hivi kwa katiba ya chadema, mwana chama anatakiwa akae muda gani baada ya kujiunga ili awe na haki ya kugombea nyadhifa mbali mbali ktk chama?????.
we ndo hovyo kuliko hovyo yenyewe! ana kipi cha zaidi au ndo umepigwa upofu wa kishabiki tu
 
user-offline.png
Josorobert

Yesterday 23:08
#1
MemberArray

Join Date : 14th September 2015
Posts : 12
Rep Power : 303
Likes Received14
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Mfumo unaotumika UKAWA[/h]
Kuna jambo jingine wanasiasa waupinzani wanatuaminisha kuwa CCM ina mfumo mbovu hata aje Malaika hawezi kusaidia kitu kubadili mfumo. Hebu tufikIri kwa pamoja kama hii ya upizani si mifumo

1.CHADEMA
Ni chama kinachojinasibu kwa demokrasia na kikiitaji tanzania kuwa na demokrasia.

MFUMO
Tangu chama kiwepo kimeongozwa na familia moja ya mzee mtei.
i. Mwenyekiti wa kwanza wa chama alikuwa mzee MTEI
ii. Mwenyekiti wa pili mzee Bob Makani akimuoa dada yake mzee MTEI (shemaji mzee Mtei)
iii. Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe, ambaye anamuoa bintiye mzee Mtei (MKWILIMA)

ZZK aliwai kusema chadema wanaamini mikoa mingine wazazi wake hawawezi mzaa mwenyekiti.

Je huu siyo mfumo mbuvu?

Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu, akihojiwa na VOA alisema Slaa aliachana na chama chao kwa sababu ya kukosa uraisi na akasema Kamati kuu ya Chadema ilimpitisha Slaa mwezi Januari kuwa mgombea uraisi, na ikampitisha tena mwezi April kuwa mgombea. Kamati kuu moja ilimpitishaje mgombea mmoja mara mbili jibu wanalo wao. Je ilikuwa na haja gani baadae kusema watu wachukue fomu wakati chama kishampitisha mtu yule? .

Baada ya LOWASA kuingia akawazidi nguvu wakapindua maamuzi ya kamati kuu aliyosema Lissu,Naibu katibu Mkuu wao Salum Mwalimu, akasema Kamati kuu ikempitisha Lowassa kuwa mgombea uraisi pekee.

Kumbuka alipitishwa kabla hajachukua fomu ya kuomba uteuzi wa chama, afu kesho yake wakatangaza ati watu wachukue fomu za uteuzi wa uraisi na chama kikamsindikiza kwenda kuchukua fomu ya chama. Nani angeweza kwenda kuomba achaguliwe wakati kuna mgombea ashachukua fomu kwa kusindikizwa na viongozi na ashatangazwa kupitishwa peke yake.

Hili ndo sharti gumu alilowapa upinzani, kama wanamtaka asipambanishwe na yeyote.
HUO SIYO MFUMO MBOVU??

Pale kuanzia Slaa, Mbowe, Ztito, Lisu, Ndesapesa,etc wote kila.mmoja ana jamaa yake mbunge viti maalumu. Je huu si mfumo mbovu?

2. CUF
Hiki ni chama chenye mizizi mikuu zanzibar. Chama hiki tangu kiumbwe miaka karibu 25 kimeongozwa na mwenyekiti na katibu mkuu mmoja kwa kumbukumbu yangu, nimemsikia maalimu Seif na Prof Lipumba.

MFUMO
Tangu kuumbwa chama CUF wagombea uraisi ni walewale. Maalim seif huu ni mwaka wa 25 anagombea uraisi. Lipumba naye alishachukua fomu so ni yale yale.

Viongozi wake wakuu ni wale wale kabla ya juzi.Prof kuachana nao.
Nakumbuka hamad Rashid alijaribu kutia pua kugombea ukatibu akafukizwa uanachama na Maalim seif mwenye milk.ya maisha ya chama.

Unaniuliza ati kwa nn CCM ijione inafaa
kutawala miaka yote hujiulizi kwa nini Maalimu seif kwa nusu ya miaka 50 ya uhuru anajiona anafaa kuwa katibu wa chama na mgombea peke yake?

3. NCCR
Hiki ni chama ambacho walau kimebadiri viongozi japo nacho kina sifa kama hapo juu. Mbatia kukiachia si leo. Nakumbuka kafulila alithubutu kuutaka U chair naye akafutwa uanachama akaishi kwa mgongo wa mahakama. Baada ya kuhisi ni potential kuliko wote mle walimwangukia ila ni baada ya uchaguzi wa mwenyekiti kuisha.

4.NLD
Hiki nisikizumgumzie maana chama cha mfukoni cha makaidi na anatembea nacho mfukoni. Anajulikana yeye tu pamoja na kuwa chama ni cha muda mrefu.

Basi ndugu hawa wana uhalali wa kusema chama cha CCM kina mfumo mbovu bila kukiangalia wao??
Chadema imepoteza viongozi potential.wakilalamikia mfumo mbovu wa chama je.wameshasahau yao?
Ok twende na hoja ya mfumo maana wanaibeba ili kuwaaminisha watanzania wa kwao anafaa kwa vile ati ccm wana mfumo mbovu.

Wanaamini lowasa alikuwa mzuri ila tatizo mfumo wakati miaka nane wamemtukana kuwa lowasa ni mbovu na hawakuwai kusema mfumo. Hivi najaribu kujiuliza hawa wote UKAWA hakuna aliyesoma organization behavior?

Hivi unaweza kuwa na mtawala mbovu katika kampuni nzuri?

By then who makes a system. People makes a system and they can change a system.

Mbona Lowasa alienda akabadili mfumo wa uteuzi.wa UKAWA waliojiwekea?
Kwamba wanaamini lowasa atakuwa raisi afu wamtawale wao??
Ukiwauliza hawa wanakwambia awe mbovu alete maendeleo asilete tunachotaka mabadiliko. Ndo lema alisema Arusha hata likiwekwa jiwe litapita yaani tunageuzwa wajinga tusiyoweza kupambanua ati kisa mabadiliko.

Sisikii tena maamuzi magumu!!, Kauli rahisi za hadaa huku ukiamini unajitofautisha na unaopingana nao ni ajabu.

Tutafakari na kufanya maamuzi yaliyo sahihi.​

Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamani.
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye hangefaa kuongoza nchi? ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm! hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya. kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind. mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwawekakando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.
tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.
wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.

Umechelewa. Abiria karibu wanafika mwisho. Lowasa rais mtarajiwa.
 
huna unachojua, mmekuja juzijuzi tu mnajidai wanamageuzi milobobea, muda wote mlikuwa wapi! kama wanaume si mngeanzisha chama chenu muda mrefu!

We k.nge usibishane na mimi kama uliingia CHADEMA upate nafasi ya kugombea ukakosa rudi CCM, huko ndo kuna mrundikano wa nafasi ... ...unasema sina ninachojua wakati najua unaandika utumbo tu hapa.
 
We k.nge usibishane na mimi kama uliingia CHADEMA upate nafasi ya kugombea ukakosa rudi CCM, huko ndo kuna mrundikano wa nafasi ... ...unasema sina ninachojua wakati najua unaandika utumbo tu hapa.
hahaha mbona umepanic kaka, hapa ni hoja tu, matusi hayana nafasi
 
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze,

  1. cheo ni dhamani.hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
  2. kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini!
  3. ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm!
  4. huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya.
  5. kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili
  6. kutumia akili na means yeyote kuwaweka kando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
  7. jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
  8. ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
  9. wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli. tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
  10. kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba. wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.

Umenena yaliyo wazi. Tatizo humu ukumbini kuna wenye bongo zenye maziwa mgando ambao hawaoni kuwa wanatumiwa na TEAM LOWASSA kutimiza malengo ya Lowassa na sio malengo ya wanamageuzi.
 
Ndugu wapenzi na wanachadema halisi wa chadema na mageuzi kwa ujumla, haihitaji kuwa na degree kujua tumesaritiwa na watu tuliwaamini na kuwapa vyeo ndani ya chama chetu ili watuongoze, cheo ni dhamani.
hatutakiwi kubeba makosa ya mbowe wala yeyote, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.
kutuletea mgombea uraisi wa kuchonga ni jambo lisiloingia akilini! katika watu wote ina maana hakuna mtu ambaye hangefaa kuongoza nchi? ina maana chama chetu kwa muda wote ni mamburula? kweli tunafikia sehem kwenda ikulu kwa kudandia lift ya gari bovu liliachwa na ccm! hii haiingiii akilini! huu ni udhalilishwaji mkubwa wa wanamageuzi wote! ndo maana wanamageuzi wa kweli wengi wamepiga u turn! bora tuwape ccm waendelee kuongoza japo kwa miaka mitano ili tujipange upya. kurudisha majeshi nyuma ukijipanga ni mbinu ya kijeshi. kwa hapa tulipofikia tukiendee mbele bila kujipanga upya hatutakuwa na real cause ya kuendelea na mapambano maana majemedali wetu wamepigika kiaakili, wako insane, hawana clear mind. mwanajeshi mtiifu yeyote kinachotakiwa kwa sasa ni kutumia akili na means yeyote kuwawekakando hawa majemedari na kurudi nyuma ili tujipange kuepusha maafa na madhara zaidi.
jeshi letu limeeingiliwa na mamluki aliyokuja nayo huyu mgombea wa kuchonga, wanatutumia tu kwa malengo maalum kwa kipindi huki! tusiiombe wapate wanachotaka! tutalia na kusaga meno jinsi watakavyotutifua! wao hawana chakupoteza!
ndo maana nawaomba sana wanamageuzi tufumbue macho! tafakari watu waliokuwa upande wa pili wamekuja huku kwa wingi na mambo yao yaleyale waliyokuwa wanayafanya kule ikiwemo matusi na kejeli na dharau kwa mtu anaye tofautiana nao mawazo! kwao matusi wala sio issue! kwao kuongopa wala sio issue! tabia ya virusi inapoingia kwenye system ina act kama genuine software kumbe ukishaikubali inaanza kula mafile na hatimaye kucolapse system nzima.
wanamageuzi tuungane kukataa mageuzi ya kitapeli haya ya virusi kwa njia moja tu, tuwape ccm muhula mmoja then kipindi hiki tujipange kwa mageuzi ya kweli.
tupingane na mabadiriko yasiyoweza kuratibiwa.
kama tunaipenda nchi yetu tukatae huu mkusanyiko wa chui wenye njaa wanaohubiri kukomboa kondoo kutoka zizi la simba walio shiba.
wanamageuzi wakweli shime tupigie ccm mwaka huu.

Mmh muongo wewe! maandishi yako ni CCM lakini roho yako iko chadema. Sio mbaya kijana piga dili Lumumba lakini kura yako usitukoseshe tu Oktoba 25. najua muko wengi kina nyinyi hapo Lumumba
 
Back
Top Bottom