Kwa wamama na wadada .only...

Mie nimekupa Like sababu umeni convince God Father anahitaji Like kwa kweli....lol

Mimi mniachie responsibilities za home... Nitakua house keeper wa nyumba ya Preta, Kaunga, Black woman pamoja na wewe Smile. Nikiamini wote mpo single.....:)
sema mpambano hapa sitauweza naona aende tu na preta
 
sema mpambano hapa sitauweza naona aende tu na preta
Kwani kasema anata mmoja tu..?, kasema anataku ku-have fun and weekend gateaway, sasa kwani kuna w/end moja tu.., nadhani hapo kuna uwezo kwa kwenda na zaidi ya 53.., kama kila w/end atakuwa anabadilisha... (si unajua tena no commitments)
 
kwani kasema anata mmoja tu..?, kasema anataku ku-have fun and weekend gateaway, sasa kwani kuna w/end moja tu.., nadhani hapo kuna uwezo kwa kwenda na zaidi ya 53.., kama kila w/end atakuwa anabadilisha... (si unajua tena no commitments)
i hate scramble and competitions
 
sema mpambano hapa sitauweza naona aende tu na preta

Huh? Mbona that is not you kabisaaaa!!! Acha woga Kid sis, huwezi jua God Father kitu gani chamfanya a Click, and wewe ndie waweza kuta unacho....
 
duh kumbe ndo tunavyokufaga hv na ngwengwe...Mungu rehemu kwa sisi viumbe kupenda vya bure....
 
hahaha salaam namaste Didi.. usifanye hivyo ... nilikuwa napita tu.. nilikuona kwa mbaaali sana mitaani flani upo busy...

Yeah' hata mie nimekuona... Namaste yaar' sasa vipi where you able to finish?

Imekaa njema? Looking forward to your point of views....
 
we si ulinibania walet yako? Umeona eeh hii ndo jf ukibana wenzio wanaachia

we si ndio ulinikimbia mwenyewe ? nilikuambia urushe namba ukaingia chaka. usiende kwa huyu pedesheeeee tafadhali.
 
Yeah' hata mie nimekuona... Namaste yaar' sasa vipi where you able to finish?

Imekaa njema? Looking forward to your point of views....

yaani Didi.. il kitu niliangalia dakika 30 za mwanzo nikasema wacha niweke pause kesho nitamalizia... akatokea mtu aka delete yale makitu.. niligombana nae sana.. naitafuta tena .. though..
 
yaani Didi.. il kitu niliangalia dakika 30 za mwanzo nikasema wacha niweke pause kesho nitamalizia... akatokea mtu aka delete yale makitu.. niligombana nae sana.. naitafuta tena .. though..

Khaa!! Pole saana all that gone to waste! Jamani naona mimi ningelia...lol

(Isije ikawa you did not like it.... hahaha)
 
Khaa!! Pole saana all that gone to waste! Jamani naona mimi ningelia...lol

(Isije ikawa you did not like it.... hahaha)

ahh come on! niliipenda ndio maana nikazama PM kukutafuta na kukupa recommendation ...!! bahati mbaya nikakuta ninapotaka mimi kulala my sis ulishaamka kitambo.. na kupasahau.. hahaha
 
sijui tunaanzia kampala au nairobi sijajua.kuna wanaume bwana

baby u mean sooooo much to me . ukienda kwake naenda kujinyonga sasa hivi na
BIG G . tell me what you want hny . your wish is my command !!!!!!!!
 
baby u mean sooooo much to me . Ukienda kwake naenda kujinyonga sasa hivi na
big g . tell me what you want hny . Your wish is my command !!!!!!!!
wewe si nilikuambia bahati haiji mara mbili ona sasa elfu 20 tu ya saluni eti unaniambia nikanyoe nywele ona sasas huyu papaa saluni kigaliiiiiiiiii
 
wewe si nilikuambia bahati haiji mara mbili ona sasa elfu 20 tu ya saluni eti unaniambia nikanyoe nywele ona sasas huyu papaa saluni kigaliiiiiiiiii

naenda kumtengeneza huyu pedeshee hawezi kunidhalilisha nanma hii. ngoja niruke kwa babu kama hajaongea mwenyewe sasa hivi . LOL !!
 
Jaman mtanisamehe kama nitakua nimeileta mahali siyo penyewe.

Kuna jamaa aliniambia the same kuwa anataka tu companya just for fun na tukakubaliana kutoka kwenda kwenye moja ya fukwe. Mimi nilimwambia wazi kuwa ni married na nina commitment therefore kampani itakuwa ya kawaida akakubali. Kweli tuliarrange na kwenda na kwakua ilikuwa ni mchana it was good for me.

sasa bwana kumbe yule jamaa ana mafrustration yake kibao, kufika kule hata soda niliyokunywa niliijutia manake nilianza kazi ya kumpa ushauri. kaka anamatitizo kuliko unayoweza kufikiri na ni ukweli pesa siyo amani. yaani sikuamin maisha ambayo amekua anaishi na jinsi anavyo pata shida. imagine dume limeoa but hajawah hata siku moja kufanyiwa jambo lolote na mkewe? yeye ndo wakudeki bedroom, na wakumfungulia mkewe geti usiku. niliona kama ni hadithi but ni kweli. niiambia nafsi yangu sitatoka tena na mtu kwa tabu niliyoipata.
 
Back
Top Bottom