Kwa wamama na wadada .only...

ahh come on! niliipenda ndio maana nikazama PM kukutafuta na kukupa recommendation ...!! bahati mbaya nikakuta ninapotaka mimi kulala my sis ulishaamka kitambo.. na kupasahau.. hahaha

aaah! Jamani.... Siku nyingine unataka nijifanye sijawahi check? lol. \
Mimi am thinking bora nimeiona inakua rahisi when you watch it ndio tu discuss....
Told you mi movie holic hata kama ni Bollywood. lol
 
Jaman mtanisamehe kama nitakua nimeileta mahali siyo penyewe.

Kuna jamaa aliniambia the same kuwa anataka tu companya just for fun na tukakubaliana kutoka kwenda kwenye moja ya fukwe. Mimi nilimwambia wazi kuwa ni married na nina commitment therefore kampani itakuwa ya kawaida akakubali. Kweli tuliarrange na kwenda na kwakua ilikuwa ni mchana it was good for me.

sasa bwana kumbe yule jamaa ana mafrustration yake kibao, kufika kule hata soda niliyokunywa niliijutia manake nilianza kazi ya kumpa ushauri. kaka anamatitizo kuliko unayoweza kufikiri na ni ukweli pesa siyo amani. yaani sikuamin maisha ambayo amekua anaishi na jinsi anavyo pata shida. imagine dume limeoa but hajawah hata siku moja kufanyiwa jambo lolote na mkewe? yeye ndo wakudeki bedroom, na wakumfungulia mkewe geti usiku. niliona kama ni hadithi but ni kweli. niiambia nafsi yangu sitatoka tena na mtu kwa tabu niliyoipata.

Yaani hii post kwa kweli inafaa kabisa hapa... Ndio mahala pake Haswa!!

Pamoja na yoote hayo nimecheka hadi tears zimelenga (Sorry Gfso but could not help it) Thank you for sharing...
 
yaani hii post kwa kweli inafaa kabisa hapa... Ndio mahala pake haswa!!

Pamoja na yoote hayo nimecheka hadi tears zimelenga (sorry gfso but could not help it) thank you for sharing...
teh teh ujue sis jana nilitoa thread watu wakanitukana kweli lakini ndo ivo mtu unatoka nao kutoana stress anaanza kulalamika oooh mama mkwe bati limechukuliwa na bati kijijini, choo cha shangazi yangu kimejaa , mke wangu anadaiwa upatu mtaa mzima yaani unajuuuta kumfahamu.
Mtu una stress zako mama yupo hosptal na oxygen ukitoka hapo pressure juu
wape tips za outing bwana hawa wanaume watatuua na pressure
 
Twende weekend gate away then. Umri sio kigego kwangu

Unakuwa na umri wa aina mbili.
Umri mmoja for weekend gateaways
Umri mwingine pale unapokumbwa na matatizo.

teh teh teh hii kali mkuu . hata mimi itabidi nifanye hivi siku hizi .
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Twende weekend gate away then. Umri sio kigego kwangu

Unakuwa na umri wa aina mbili.
Umri mmoja for weekend gateaways
Umri mwingine pale unapokumbwa na matatizo.

Me Love this... Ina maana haijalishi nipo 40's nikipanga kutoka na wewe for a Weekend getaway nakua kama a Lady wa early 20's, navalia thongs na bikinis kama underwear with lacy bras, a hot and crazy hairstyle, nice boots na the like. Nabadilisha kabisa hizi granny panties, cotton plaited skirts na the old fashioned wig I wear.... Am I right? lol

How old are you by the way? hahahah
 
teh teh ujue sis jana nilitoa thread watu wakanitukana kweli lakini ndo ivo mtu unatoka nao kutoana stress anaanza kulalamika oooh mama mkwe bati limechukuliwa na bati kijijini, choo cha shangazi yangu kimejaa , mke wangu anadaiwa upatu mtaa mzima yaani unajuuuta kumfahamu.
Mtu una stress zako mama yupo hosptal na oxygen ukitoka hapo pressure juu
wape tips za outing bwana hawa wanaume watatuua na pressure

Kabla sija comment naomba Link dear....
 
smile your right kabisa, mimi mtu anaanza ooh mke wangu hanipi unyumba, mara ooh ananiambia nimpasie nguo, mara hajawah hata kunifulia. kila siku mm ndio namfungulia geti. yaani nilichanganyikiwa nikasema sasa am I having fun or confused? hawa makaka hawajui nini maana ya raha bwana, wao wakiwa na mauchungu yao wanatafuta pa kulilia. kimsingi inaboa sana. itabidi wadada wa jf tuwaanzishie darasa la jinsi ya ku have fun na partner.
 
Me Love this... Ina maana haijalishi nipo 40's nikipanga kutoka na wewe for a Weekend getaway nakua kama a Lady wa early 20's, navalia thongs na bikinis kama underwear with lacy bras, a hot and crazy hairstyle, nice boots na the like. Nabadilisha kabisa hizi granny panties, cotton plaited skirts na the old fashioned wig I wear.... Am I right? lol

Kabisa.

How old are you by the way? hahahah
Umri kwako ni kigezo? Nilidhani ni fwedha kwa kwenda mbele?
 
smile your right kabisa, mimi mtu anaanza ooh mke wangu hanipi unyumba, mara ooh ananiambia nimpasie nguo, mara hajawah hata kunifulia. kila siku mm ndio namfungulia geti. yaani nilichanganyikiwa nikasema sasa am I having fun or confused? hawa makaka hawajui nini maana ya raha bwana, wao wakiwa na mauchungu yao wanatafuta pa kulilia. kimsingi inaboa sana. itabidi wadada wa jf tuwaanzishie darasa la jinsi ya ku have fun na partner.
heri huyo wengine unapigwa na mzinga kabisa
 
Back
Top Bottom