MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Tungekuwa na utaratibu wa Magharibi ningesema tofauti. Ila kwetu sisi wabongo na vijitabia vyetu vya kutoheshimu ndoa za watu, namuunga mkono mke.
Mleta mada akae na mzazi mwenzake wapange jinsi ya kumlea mtoto bila kumsababishia matatizo ya kisaikolojia. Ila katika mchakato huo, wawe waangalifu wasifunje ndoa.
Hakuna ruhusa hata mara moja, mama wa mtoto kujileta leta nyumbani kisa ni kuja kumwona mtoto!
Umenena vyema kuna post ya Husninyo hapo ameeleza hili
Last edited by a moderator: