Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi


Mwalimu Julius alikuwa nuksi ashanipiga sana
 
Na yule muuza pili getini tulikuwa tu nampa tabu sana wakati wa kutoka lazima tubutue biashara yake ....
 
Wote nyie cha mtoto, waliomaliza std 7 1977 wajitokeze. Mariam saidi, Pauleta Nyerere, Asumpa ndeji, Gladys Butiku, Robert Jana, Semu Mwaijande, Fortunata Makafu, Richard Kashinde, Eliza Guveti. Walimu Josephne Mahiga, mwl Mbuya, mwal Kagisa, mwl Kasdam muhindi, mkiingia asubuhi gate likifungwa hakuna kutoka mpaka saa sita kwenda kula mchana darasa linaendelea. Those days njooni wakongwe tukumbukane. Asubuhi sala oh God ur greater...
 

hahahahaha...hivi clara yupo wapi siku hizi?
 

mkuu,shikamoo. miaka ya sabini mwanzoni mzee wangu alisoma sekondary hapo.
 
Shikamoooo
 
hahahahaha...hivi clara yupo wapi siku hizi?

Dah yani hta cjui yuko wapi niliwahi kukutana naye muda mrefu sn kene basi yeye alikuwa anaelekea chuo cha cbe ndipo alipokuwa anasoma.kwa sasa cjui tena yuko wapi as tulipotezana kimawasiliano
 

Duh wengine hata kuzaliwa bado! Ila mimi hapo niko darasa la nne!
 
Nilichoshangaa ni kudumu kwa mrs Mbuya na ukuu wa shule toka enzi zetu mpaka zenu
 

Haya nawe ujue una wakubwa wako sisi wa std 7 (1973) Mwalimu wetu Mkuu alikuwa Mrs Simkoko hebu waje hapa Mpeli Nsekela,Grace Mushi,Richard kusiga,Nuru Omari,Eva saidi,Joyce Mwombela,Regina Mariale,Tirio Mango,Samuel Milinga,Rosemary Nyerere,Mwinyi Mangara,Veneranda Luhanga,Princely Muro,Humphrey Omary,hawa wengine nawakumbuka kwa jina moja nao ni Parkimelo,Patrick (alikuwa anaishi kigamboni),Ndunguru,Generoza, Philomena na mwisho kulikuwa na wachina walikuwa wanaishi keko majina nimewasahau.

haya mpo hapo!
 

hahahahahaha....shkamoo mkubwa.
 
Dah yani hta cjui yuko wapi niliwahi kukutana naye muda mrefu sn kene basi yeye alikuwa anaelekea chuo cha cbe ndipo alipokuwa anasoma.kwa sasa cjui tena yuko wapi as tulipotezana kimawasiliano

Aisee...nataka niwatrace karibu wote tukutane.ambao tunawasiliana hawapungui ishirini.lily nyamanzawa nimempata mwaka jana mwishon nadhan,unamkumbuka?
 
Aisee...nataka niwatrace karibu wote tukutane.ambao tunawasiliana hawapungui ishirini.lily nyamanzawa nimempata mwaka jana mwishon nadhan,unamkumbuka?

Ndio namkumbuka lily,je hao wote 20 umewapataje Ndugu au kuna mtandao wa wasap mmeutengeneza mnaonana uko ee
 
Afu mkuu spider una kumbukumbu kweli mtu wangu hongera mi wengine nimewasahau kwa majina ila ww unawakumbuka mpaka ubini wao umetisha sana mkuu ha ha haa
 

shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…