Kwa walio tumia hii modem msaada/ushauri please.

Basi zitakua out of stock nimejaribu kucheki nimekuta hizo mbili tuu
Kama unaweza agiza kutoka eBay maana nimeona Tigo wanaziuza 100000 na bado zipo locked.
 
Ngoja nifatilie za TTCL naona kama wameshusha bei nao wanauza 50,000 sijui zipo locked nadhani ni model ile ile.
 
Kama ni ile ile hizo nahis zinachakachulika ila sina uhakika.
 
Attachments

  • 13529017_10154303840827884_787875428518001902_n.jpg
    13529017_10154303840827884_787875428518001902_n.jpg
    36.3 KB · Views: 63
Back
Top Bottom