Ndoa ni kama ujenzi wa nyumba, msingi ukiukosea tu ni shidaa!! Kabla ya mwaka kwisha mmengombana mmeyapeleka kwa msululishi hapo kwenda kwa wasululishi ni mwanzo mwisho.
Mimi nitakuambia jamba then zamu yangu baadae, chezeya mahabati weye.
ndio maana nakwambia kuna visirani kweli kweli....
Ukweli na kwambia na hivi ndivyo ndugu zetu walivyo umbwa na wala siyo tabia ya mtu binafsi. ndugu wa mwanamke hawana tatitizo kwa mwanaume ila wa mwanaume wana tatizo kwa mwanamke na usiwalaumu hii ni nature yao
Africa extended family ni muhimu ukikataa ndugu zangu nami nakufukuza.Mke siyo ndugu tumekutana ukubwani iweje niliozaliwa nao niwatose?huku siku yoyote wewe waweza nipeleka mahakamani?Mwanamke ni kama jiko la umeme au pasi ya umeme ila mwanaume ni kama jiko la gas. Ukifanya kikuku kuku unategemea nini? Kumuumiza? Ajute?
Mwanamke kibiologia anapenda sana kuwa huru na mumewe, kwa hiyo msipende kujaza bandugu zenu pindi ukiishi na mke wako. Privite kati yenu muhimu sana, ndugu wasaidie siyo lazima kuwajaza kwako.
Wake kwa waume kuweni huru na vipato vyenu, mali zenu, matumizi yanu yaeleweke ili trust iwepo na amani iwepo kati yenu la sivyo itakuwa ni shidaaa!!! Kuna jamaa alimfukuza mke wake kwa pastola baada kufahamu mke wake kajenga nyumba kinyemela.
Yale mambo ya kitoto kitoto ndio hasa mwanamke anapenda, ukikaa naye kwa sitting room just mwambie Baby umemuona mjusi wa blue kapita na maneno kama hayo.
Chai inaiva fasta sasa jiko la umeme mpaka moto ukolee kwenye plate zake ni shidaa!!
Au unamwambia beby hujanipakata siku nyiingi afu unaenda mkalia paaa huuhuu !!!
Tatizo sisi wa afrika ni mfumo dume uliopitiliza. hapo ni amri kama mwamamke yupo depo. akipata mchepuko wa kuchekesha chekesha, utani kidogo ndoa inakuwa ndoano. as well kila mwana ndoa awe huru siyo kulindana kama watu mpo gerezani.Ni kweli mkuu kwamtoro, hata Mchungaji mmoja alikuwa akiwaeleza wanandoa kuwa ni muhimu kutaniana na mkeo/mmeo. Sio kuishi kama mnaishi na maadui zenu!
Uzuri na yeye akuone wewe pia kama mtoto wake wa kwanza. aku masaji, akubebe. hapo ugomvi utatoka wapi? utapitia wapi?Mapenzi yakitoto matamu Sana ayachoshi yaani ukamfanya mumeo Kama mwanao Wa kwanza unamuogesha unamchana nywele unampaka mafuta unamlisha duuuu raha raha mpaka basi
Pia kwenda hotelini, nnajipumzisha kwa siku 2 hivi.Ukitaka kufaidi zaidi msikariri kwamba Ku sex nikitandani tu mnaweza sex sehemu zingine Kama seblen,jikon,ukutani,kwenyekochi mkajikuta mwezi mzima hamjasex kitandani
Ila yote hayo Kama mnaishi pekeyenu tu hamna ndugu.