REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
Kwani kazi ya ulimi ni nini? kazi ya maziwa ya mwanamke ni nini? kazi ya masikio ni nini? Alaa, acha umasai na mambo ya mama bonke raraga ni kurenge.
ulimi--kutaste ladha tofauti za vyakula,madini,na vinywaji pia kufanikisha utoaji wa sauti
maziwa --kunyonyesha mtoto BASI
Masikio--kubalance pressure na kusikia ala za sauti tofauti
