topr
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 700
- 654
huoni unawapa escaperoot
Kivipi mkuu
huoni unawapa escaperoot
Hapa nimekusoma vizuri na majumuisho niliyo kuja nayo ni kosa kubwa sana mwanaume kuoa mwanamke asiye jiongoza kwani ni shida. Sawa sawa na mwanamke kuolewa na mwanaume mvivu.Uyo dawayake moja kaanae chini muulize mke kwa siku tunatumia sh ngap katika chakula my be 10000kwa siku basi mpe ela ya wiki moja mpime ataweza kujiongoza mwenyewe wiki ikaisha bila kukwambia anataka Pesa
Asipo weza or akapika chakula ambacho hakiendani na Pesa uliotoa mgoje siku kafurahi an za kumuhoji kiutani Kama vile
Shost mbona nilikupa ela ya wiki nzima ila kilasiku ymenilisha dagaa or kunakamchumbA ulikuwa unakapikia nyama lazima kunajibu atakupa LA kweli sema atajibu kimatan sasa apo ndo utajua plan b
Kivipi mkuu
Ila kuna mengine flat screen aisee sijui utayapigaje au utayapangusa. Ha ha ha just a joke.
Hapa nimekusoma vizuri na majumuisho niliyo kuja nayo ni kosa kubwa sana mwanaume kuoa mwanamke asiye jiongoza kwani ni shida ni kama mwanamke kuolewa na mwanaume mvivu.
Ila kuna mengine flat screen aisee sijui utayapigaje au utayapangusa. Ha ha ha just a joke.
makalio ni something unique eeh?aisee
Kweli kabisa ila shule nayo ina nafasi yake kwenye maisha ya ndoa.Kabisa ukiwa na mwanamke ambae anajiongoza unapata ata faraja kwamba ata nikifa watoto wangu nimewaacha kwenyemikono salama
Unaweza kumpa ata no za siri za bank na asiende kutoa ela bila makubaliano nahisi elimu ya darasani na yadunia inachangia
nimetoa mfano tu
Hhahaha utani huo unawatania watu flani mkoa Fulani me simo
Kuweza mfanya binadamu akae.
darling nimekuletea WARIDI lenye harufu nzuri, NTAkuletea na PERFUME ile ya kwenye NDEGE ya Emirates/Quata airways
hahahah mjusi wa blue tena
Loohh! I like the way unavyo nijali. unanifanya kila wakti ukiwa mbali nami kujisikia mpweke sana. unajua ni kama unanilogo hivi, kwa sababu akili yangu hairuhusu akili kumuwaza mwanamke mwingine yeyote. Asante baby ikisindikizwa na front kic.darling nimekuletea WARIDI lenye harufu nzuri, NTAkuletea na PERFUME ile ya kwenye NDEGE ya Emirates/Quata airways