Kwa walio kwenye ndoa zingatieni haya

Kwa walio kwenye ndoa zingatieni haya

Yale mambo ya kitoto kitoto ndio hasa mwanamke anapenda, ukikaa naye kwa sitting room just mwambie Baby umemuona mjusi wa blue kapita na maneno kama hayo.

hahahahaha na wewe akikuita mme wangu njoo kidogo ukija akakuambia ndevu zako nzuri usitokwe na povu sasa eti ndo umeniitia hicho?[/QUOTE]
Unamjibu nzuri kama urembo wa ndege tausi. unamkic kwa paji la uso. utamwona fasta anakimbilia jikoni kukuandalia mahanjumati.
 
Mume akimdekeza Mkwe siku zote ndoa itakuwa na furaha Kama yupo mwezini ameenda kuoga unamuwekea pedi kwenye pichu akitoka bafuni unamwambia mke nimekuwekea pedi teyar vaa duuuu wife atatabasamu atakupenda
 
Umenifundisha, ubarikiwe sana.
 
Mume akimdekeza Mkwe siku zote ndoa itakuwa na furaha Kama yupo mwezini ameenda kuoga unamuwekea pedi kwenye pichu akitoka bafuni unamwambia mke nimekuwekea pedi teyar vaa duuuu wife atatabasamu atakupenda
Kuna jamaa alikuwa anatengana kitanda na mke wake pindi mke akiwa mwezini. ndoa imedumu miaka miwili tu, sasa hivi chari.
 
Yani uyo anamtenga Mke kisa period alikuwa anakosea Sana
 
hahahahaha na wewe akikuita mme wangu njoo kidogo ukija akakuambia ndevu zako nzuri usitokwe na povu sasa eti ndo umeniitia hicho?
Unamjibu nzuri kama urembo wa ndege tausi. unamkic kwa paji la uso. utamwona fasta anakimbilia jikoni kukuandalia mahanjumati.[/QUOTE]

kwikwkikwwii kweli neno halikukosea .....kaeni na wake zenu kwa akili.
 
Ruhusu mkeo apange bajeti nyumbani cos wanaume wengi hawajui bajeti hii inaongeza mwanamke aone unajali uwepo wake
 
DOA ili idumu na ichanue ruhusu mwanamke atabasamu cos akifurahi mama Nyumba inakuwa na furaha
 
Ukiona ndoa ipo kwa msululishi hapo tayari kwishiney. Mwanaume anatakiwa akomae kweli kweli hata kama kafumaniwa.

Mmh ukifumaniwa labda kama ujavua suruali ila kama ipo chini hapo lazima ujiongeze
 
Unamjibu nzuri kama urembo wa ndege tausi. unamkic kwa paji la uso. utamwona fasta anakimbilia jikoni kukuandalia mahanjumati.

kwikwkikwwii kweli neno halikukosea .....kaeni na wake zenu kwa akili.[/QUOTE]
Na maharifa ikiwemo kwa sababu alikwisha tambua ni namna gani amemuumba mwanamke.
 
Ruhusu mkeo apange bajeti nyumbani cos wanaume wengi hawajui bajeti hii inaongeza mwanamke aone unajali uwepo wake
Kweli kabisa, mwanamke kwenye mambo ya bajeti, yupo juu. ila mmbaya ni yule asiyependa kupitwa na wakati katika mavazi na mshindani na wenzake.
 
Mmh ukifumaniwa labda kama ujavua suruali ila kama ipo chini hapo lazima ujiongeze
Kwa hiyo umenifumania, nakuomba tuongee 2 kama ilivyo taratibu zetu. wewe unataka jambo liende kwa wazazi ili iweje kama siyo kuzidi kujivua nguo. anaye haibika kwenye usululishi siyo mume tu, bali ni wote. sababu yatazungumzwa yasiyo zungumzika.
 
kama utaomba tuyazungumze hapo sawa ila ukiendekeza kitabia hapo ndiyo shida kwa kweli
 
Kweli kabisa, mwanamke kwenye mambo ya bajeti, yupo juu. ila mmbaya ni yule asiyependa kupitwa na wakati katika mavazi na mshindani na wenzake.

Uyo dawayake moja kaanae chini muulize mke kwa siku tunatumia sh ngap katika chakula my be 10000kwa siku basi mpe ela ya wiki moja mpime ataweza kujiongoza mwenyewe wiki ikaisha bila kukwambia anataka Pesa

Asipo weza or akapika chakula ambacho hakiendani na Pesa uliotoa mgoje siku kafurahi an za kumuhoji kiutani Kama vile
Shost mbona nilikupa ela ya wiki nzima ila kilasiku ymenilisha dagaa or kunakamchumbA ulikuwa unakapikia nyama lazima kunajibu atakupa LA kweli sema atajibu kimatan sasa apo ndo utajua plan b

Kingine wanamme amuwapi wakezenu ela za matumizi mwanamke anapenda Sana ela ya mwanaume ngoja niwaibie siri yaani atakama anakazi nzuri anamshahara mzuri ukija ukampa ata 10000 anafurahi Sana anaona unamjali

Zawadi nazo nichachu ya mwanaume mama anapata amasa yakukupokea jioni cos anajua umemletea zawadi atakama pipi ataifurahia kuliko unavyo zani ndo mana unaweza kukuta anaviatu vingi ila anakipenda Sana ulicho mnunulia ujiulizi kwann
 
elimu na mapenzi ya kweli kuzingatiwa vingine vinaenda poa,pesa ni kitu cha kawaida ukivalue sana lazima hapo dira ipotee for real
 
Uyo dawayake moja kaanae chini muulize mke kwa siku tunatumia sh ngap katika chakula my be 10000kwa siku basi mpe ela ya wiki moja mpime ataweza kujiongoza mwenyewe wiki ikaisha bila kukwambia anataka Pesa

Asipo weza or akapika chakula ambacho hakiendani na Pesa uliotoa mgoje siku kafurahi an za kumuhoji kiutani Kama vile
Shost mbona nilikupa ela ya wiki nzima ila kilasiku ymenilisha dagaa or kunakamchumbA ulikuwa unakapikia nyama lazima kunajibu atakupa LA kweli sema atajibu kimatan sasa apo ndo utajua plan b

Kingine wanamme amuwapi wakezenu ela za matumizi mwanamke anapenda Sana ela ya mwanaume ngoja niwaibie siri yaani atakama anakazi nzuri anamshahara mzuri ukija ukampa ata 10000 anafurahi Sana anaona unamjali

Zawadi nazo nichachu ya mwanaume mama anapata amasa yakukupokea jioni cos anajua umemletea zawadi atakama pipi ataifurahia kuliko unavyo zani ndo mana unaweza kukuta anaviatu vingi ila anakipenda Sana ulicho mnunulia ujiulizi kwann

huoni unawapa escaperoot
 
kama utaomba tuyazungumze hapo sawa ila ukiendekeza kitabia hapo ndiyo shida kwa kweli
Mwanaume smart hafumaniwi. mjomba wangu amedate na house girl kwa miaka 4 shangazi hata kuhisi tu hakuwahi mpaka house girl ameolewa hapo hapo. kufumaniwa utake mwenyewe.
 
mnajenga jamii mnaboa ??
 
Back
Top Bottom