gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Bazazi miss u a lot brodah!!brenda18
Maisha lazima yaendelee
Maisha bila mahusiano huku ukiwa hujanuia
Ni maisha ya mashaka
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Heri gurudumu la akiba kuliko gurudumu lililoko gerejiKaribu Mtoto wa Kike,
Karibu Mwanamke;
Lakini waijua gharama za mahusiano
Yawe halali au haramu?
Waweza kuyalinda ili kupanda hadhi?
Wajiamini kama mwanamke wa kisasa
Asiye na mitazamo ya Kibeijing chini ya Uongozi wa Getrude Mongella?Kama ndio Karibu Barazani kwa Bazazi
Kuna nafasi kubwa tu
Ukiweza waweza ingia hadi chumbani
Ingawa kwanza utafikia mkekani
Karibu Mwanamke
Karibu brenda18
Bazazi!
upo pande za wapi mbona sikuoni siku hz??
Last edited by a moderator: