Kwa wale wote maspea tairi

Kwa wale wote maspea tairi

Heri kuwa SPARE TYRE YA LAMBORGHINI GALLARDO kuliko kuwa TAIRI KUU YA GUTA/BAJAJI/BODA Halooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!! Heri kuwa spair tyre ya Machache kuliko MUKE YA MCHIMBA CHUMVI!!!!!!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!

NI MTAZAMO TU! MSITOBOKE NYONGO!!!!!!!!!!

Hahahaaaa hatareee
 
SELF DENIAL IS A DANGEROUS STATE OF MIND!!!!!!!!!

Kibongo bongo HAKUNA MWANAUME SINGLE esp juu ya 25yrs!!!!!!! So relations nying zinazohusisha wanaume 25yrs and above ni za SUBSTITUTION (Wamtoa mwenzio wa kaa weye) au ndo kama hivi SPARE TYRE (Wazengea kama fisi mwenzio aachwe uingie weye)

So hakuna la ajabu ulilolisema NDOTUISHIVO MUJINI!!!!!!

TANGU LINI MWANAUME WA MAANA AKAWA HANA MTU!!!!!!!!! THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!! NI KUBANANA HAPO HAPO AMA NDO UJIPOZE NA MAPOYOYO! Sie wazee wa NOTHING BUT THE BEST,si tu spare tyre unakuwa hata TOOL BOX ikibidi!

Ha ha ha haaaaa una vituko sana we mwanamke!!!
 
Brenda ushapindua Nyumba kubwa wewe!!! I can sense that!!! Angalia na wewe usijepinduliwa baadaye!!! What goes around comes.............
 
Kwastyle iyo ya spea tairi likitumika litakuja spea tairi jingine.yote yale yale
 
Ma siss watch your back my dear!! Adhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka!!
Ukimtoa mwenzio ukaingia wewe jiandae na wewe iko siku utatolewa na mwingine trust me!!
So kama wewe umedhulumu nakuhakikishia umekalia kuti kavu!! Ona Penny anavoaibika...... bora kuwa spare tyre pasipo kujua.!!!
 
SELF DENIAL IS A DANGEROUS STATE OF MIND!!!!!!!!!

Kibongo bongo HAKUNA MWANAUME SINGLE esp juu ya 25yrs!!!!!!! So relations nying zinazohusisha wanaume 25yrs and above ni za SUBSTITUTION (Wamtoa mwenzio wa kaa weye) au ndo kama hivi SPARE TYRE (Wazengea kama fisi mwenzio aachwe uingie weye)

So hakuna la ajabu ulilolisema NDOTUISHIVO MUJINI!!!!!!

TANGU LINI MWANAUME WA MAANA AKAWA HANA MTU!!!!!!!!! THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!! NI KUBANANA HAPO HAPO AMA NDO UJIPOZE NA MAPOYOYO! Sie wazee wa NOTHING BUT THE BEST,si tu spare tyre unakuwa hata TOOL BOX ikibidi!
mixer first aid kit....humo humo
 
teh bana wee kuna miujiza,'jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la....."anaejua bible akumalizie apo ndo uelewe kilichonisibu

Hadithi, hadithiiii. Hadithi njoo, utamu njoo, na uwongo kolea. Bibie tafadhali achana na masuala ya nikimpata Jamaa_Mbishi atanikoma kwani nitampa penzi mpaka atamwacha mkewe, kwani ni wishiful thinking tu ila inawezekana kwa dawa za miti shamba watumiazo wadada wengi wa siku hizi ila si kwa mtu mwenyewe kukubali ama kutaka hivyo. Si tunawaona machangu a.k.a. ma house girls wanavyoliza wake halali wa ndoa. Mtu kafanya uchangu weeeeeeee halafu anajifanya kaokoka au house girl huku anatembea na hirizi ili aibe mme wa mtu, huu ndo mchezo wa sasa mjini. Machangu wa mikoani na mjini wamecharuka wamechoka kuchezewa wanataka kuiba waume za watu kwa kutumia nguvu za giza.
 
Ma siss watch your back my dear!! Adhaniaye amesimama aangalie asije akaanguka!!
Ukimtoa mwenzio ukaingia wewe jiandae na wewe iko siku utatolewa na mwingine trust me!!
So kama wewe umedhulumu nakuhakikishia umekalia kuti kavu!! Ona Penny anavoaibika...... bora kuwa spare tyre pasipo kujua.!!!

Sasa yale mapenzi ya Diamond na Penny ni mapenzi kweli au Bongo movie in the making? I feel sorry for that demu, yaani kahaibika kichizi ila ni mbishi, for that namsifia anakubali kukomaa na haibu yake.
 
Hadithi, hadithiiii.
Hadithi njoo, utamu njoo, na uwongo kolea. Bibie tafadhali achana na
masuala ya nikimpata Jamaa_Mbishi atanikoma kwani nitampa penzi mpaka
atamwacha mkewe, kwani ni wishiful thinking tu ila inawezekana kwa dawa
za miti shamba watumiazo wadada wengi wa siku hizi ila si kwa mtu
mwenyewe kukubali ama kutaka hivyo. Si tunawaona machangu a.k.a. ma
house girls wanavyoliza wake halali wa ndoa. Mtu kafanya uchangu
weeeeeeee halafu anajifanya kaokoka au house girl huku anatembea na
hirizi ili aibe mme wa mtu, huu ndo mchezo wa sasa mjini. Machangu wa
mikoani na mjini wamecharuka wamechoka kuchezewa wanataka kuiba waume za
watu kwa kutumia nguvu za giza.

mim brenda nakwambia nothing is impossible under the sun....mkeo akikufanyia madudu uko and am here doing the best..utakuja tu tena bila shughul ya madawa
 
hahah bazaz niwekee reserve mambo yakikaba apo nituemo kwako,lol
brenda18
Maisha lazima yaendelee
Maisha bila mahusiano huku ukiwa hujanuia
Ni maisha ya mashaka
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Heri gurudumu la akiba kuliko gurudumu lililoko gereji
Karibu Mtoto wa Kike,
Karibu Mwanamke;
Lakini waijua gharama za mahusiano
Yawe halali au haramu?
Waweza kuyalinda ili kupanda hadhi?
Wajiamini kama mwanamke wa kisasa
Asiye na mitazamo ya Kibeijing chini ya Uongozi wa Getrude Mongella?​
Kama ndio Karibu Barazani kwa Bazazi
Kuna nafasi kubwa tu
Ukiweza waweza ingia hadi chumbani
Ingawa kwanza utafikia mkekani

Karibu Mwanamke
Karibu brenda18

Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:

hahah...bazaz uu uandish wako..iv unafanyia basata?
 
Last edited by a moderator:
hahah..uzuri tyre la nyuma halitumik sanaaa..angalau kuna unafuu

Halafu wanasahau kuwa spare tyre inaokoa gari nzima kutoka maporini huko hadi sehemu salama...so ni extremely important japo inatumika kwa muda mfupi...bila hiyo hakyanani unalala porini...kwa sie wazoefu wa safari..kuna magari yana hadi spare tyre mbili...mfano ya tours...ndo vile...kabla ya safari unahakikisha spare tyre ina upepo wa kutoshaa...la sivyo uhakika wa safari upo mashakani
 
katika hali ya juu sana..........
PAMOKO Preta! KUNA MAMBO HUWA YANISHANGAZAAAAAA, NA MENTALITY KAMA HII HUENDA VIZAZI HADI VIZAZI KATIKA UKOO HUSIKA! MUNGU APISHIE MBALI WANANGU NA VIZAZI VYANGU VYOTE VIJAVYO KUWA HIZO SPARE TYRE, WAWE WAKE HALISI NA NDOA ZENYE UPENDO, amennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
SELF DENIAL IS A DANGEROUS STATE OF MIND!!!!!!!!!

Kibongo bongo HAKUNA MWANAUME SINGLE esp juu ya 25yrs!!!!!!! So relations nying zinazohusisha wanaume 25yrs and above ni za SUBSTITUTION (Wamtoa mwenzio wa kaa weye) au ndo kama hivi SPARE TYRE (Wazengea kama fisi mwenzio aachwe uingie weye)

So hakuna la ajabu ulilolisema NDOTUISHIVO MUJINI!!!!!!

TANGU LINI MWANAUME WA MAANA AKAWA HANA MTU!!!!!!!!! THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!! NI KUBANANA HAPO HAPO AMA NDO UJIPOZE NA MAPOYOYO! Sie wazee wa NOTHING BUT THE BEST,si tu spare tyre unakuwa hata TOOL BOX ikibidi!
Heshima kwako mkuu kwa uhalisia
 
Back
Top Bottom