Kwa wale wote maspea tairi

Kwa wale wote maspea tairi

habari zenu wajameni.
nilikuwa nafikiria tu,mtu yoyote akikwambia nipo kwenye relationship labda kama utakuwa tayari uwe spea taili
ushauri wangu:we kubali tu maana ipo siku utakuwa no.1 kwan ata spea tairi ipo siku litafungwa kwenye gari na litafanya kazi......mnaonaja ili lina ukweli ama mawazo mgando?

.....hehehe, kuna Spare tyre yenyewe ni chakavu thamani yake kufungiwa #Nyuma tu!
 
Umeona eeh kutokujielewa huko

teh kwan ujaona wanaojielewa wakiwa maspea tyre,kuna makundi mawili wanaojijua wao ni maspea na wasiojijua kuwa wao ni maspea,and you are in one of the group like it or not,thats the truth.org.mapenz hayana kujielewa,ni principle tu uliojiwekea kichwani but i bet ata wewe hujielewi infact no one anajielewa tusingekuwa tunalialia kila siku.over!unless you are a hero in luv
 
Niwe spare tyre labda bila kujijua.....lakini siyo kwa utashi wangu huu nikubali kuwa spare tyre......

Wadada tunajishusha sana ndo mana hata wanaume nao hawatuthamini......

Bora uwe single kuliko kuwa spare tyre....
 
Napenda watu wenye mawazo huru
Kuuona mwanga katika hali halisi
Kujua kulia na kushoto
Na kisha kuamua njia ya kufuata
Nenda mama nenda brenda18
Maisha ni kujaribu na kujaribu nikutenda
Maisha ni mafupi
Jipe raha mwenyewe.
Kwa Bazazi kuna nafasi kibao za reserve
Karibu

Bazazi
​

hahah bazaz niwekee reserve mambo yakikaba apo nituemo kwako,lol
 
Heri kuwa SPARE TYRE YA LAMBORGHINI GALLARDO kuliko kuwa TAIRI KUU YA GUTA/BAJAJI/BODA Halooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!! Heri kuwa spair tyre ya Machache kuliko MUKE YA MCHIMBA CHUMVI!!!!!!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!

NI MTAZAMO TU! MSITOBOKE NYONGO!!!!!!!!!!
 
toka nakua nilishaambiwa "malaya" ni neno la kawaida kwa mwanamke wa kiafrika,kila kitu kikifanywa na mwanamke ni umalaya,kwaio apo kwenye sentesi yako malaya imetumika kama nukta,asante lakini kwa mchango wako

Dah basi mim nilifundishwa tofauti kuwa neno malaya si neno zuri kwa mwanamke.....so nijitahidi hilo neno lisitumike kwangu......

Ingawa mwingine anaweza kukuita hvyo....lakini kusiwe na ukweli ndani yake......
 
Niwe spare tyre labda bila kujijua.....lakini siyo kwa utashi wangu huu nikubali kuwa spare tyre......

Wadada tunajishusha sana ndo mana hata wanaume nao hawatuthamini......

Bora uwe single kuliko kuwa spare tyre....

sawa thats your thought,ivi nyumba ndogo inaweza ikawa spea tyre?
 
jaman, spare taili si inatumika kwa muda tu. ukishaziba pancha unaondoa. hakuna hata siku moja litakuwa la kudumu..., period
 
Heri kuwa SPARE TYRE YA LAMBORGHINI GALLARDO kuliko kuwa TAIRI KUU YA GUTA/BAJAJI/BODA Halooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!! Heri kuwa spair tyre ya Machache kuliko MUKE YA MCHIMBA CHUMVI!!!!!!!!!!!! Inahuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!

NI MTAZAMO TU! MSITOBOKE NYONGO!!!!!!!!!!

Hahaaaaa.......
 
habari zenu wajameni.
nilikuwa nafikiria tu,mtu yoyote akikwambia nipo kwenye relationship labda kama utakuwa tayari uwe spea taili
ushauri wangu:we kubali tu maana ipo siku utakuwa no.1 kwan ata spea tairi ipo siku litafungwa kwenye gari na litafanya kazi......mnaonaja ili lina ukweli ama mawazo mgando?



Vipi bibie, nini kilichokusibu ati? Je, ni lile penzi jipya la Diamond na Wema au? Spare tairi ni spare tairi tu kwani hata likifungwa kwenye gari ni kwa muda tu siyo la kudumu, au ulikuwa hujuwi hivyo?
 
Katika gari langu sasa ni mwaka mzima sijawahi kufunga spea tairi!
brenda18 ...kama wewe mwenyewe ulivyosema...mawazo mgando...kweli ni mgando na unastahili zawadi ya "best mbulula of the year"!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom