mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Kukiwa kuna huzuni sana kwa wale walionunua simu za mchina , kuna njia mpya ya kuwasaidia, simu hizi msizitupe zinaweza kuwasaidia watoto wenu kutumika kama laptop, simu hizi tunaweza kuziingiza window 10 pamoja na application nyingine ambazo watoto au wanachuo wanaweza kuzitumia, tunaweza kuibadili simu ya android ikawa window na kutumika kama laptop, hivyo usihuzunike sana, unaweza kuifanya remote ya kufungulia geti nyumbani kwako, mawasiliano wengine kama kucheki e-mail, whatsap, instagram, skype unaweza kuendelea kupokea ukiwa ofisini kwako kuna wife devices, au una simu inayotumia wi-fi.
Wenye simu ndogo kwa size, hatuusiki nazo kwani kioo chake kidogo kwa mtumizi ya window 10 na office 2010, hii ni kwa jili ya mafunzo tu.
Onyo usiibadilishe IMEI Number kwani ni kosa kubwa kisheria, hivyo zingatia kwani ukikutwa na Bwana TCRA unafungwa miaka mingi.