BUSARA6
JF-Expert Member
- Jan 8, 2007
- 357
- 52
Mpigie huyu jamaa anayo kutoka UK 0779573061nahitaji deki ya ps3 nitaipata wapi mkuu
Mpigie huyu jamaa anayo kutoka UK 0779573061nahitaji deki ya ps3 nitaipata wapi mkuu
Nina Xbox anae taka nimuuzie
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndo muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi kama 65000 za huku.
Nikukumbushe CD ya ps4 ya Fifa 17 inauzwa mpaka 130,000
![]()
Hio apo proof. Mimi namalizia taratibu za kupata mastercard nilinunue leo
![]()
Pia yapo magem mengine mengi yanauzwa kwa promotion kwa wiki mbili hizi. Wahini wadau.
Kwa wale mnaocheza online mnaweza kuniadd gamer tag yangu ni wizzyquan
Kwa izo redeem codes kunakua na kama 20,000 extra costLILJUSTINE sio lazima utafute mastercard kwani kwa sasa kuna jamaa wanauza hizo Reedem codes za psn
ingia epic computers tz
alaf unawalipa kupitia tigo pesa then wanakutumia hizo reedem codes kwenye sms
NOKwa izo redeem codes kunakua na kama 20,000 extra cost
Kwa muda gani yani subscription ya muda gani kakaNO
10 USD = 28000
Kama account yako ulichagua region ya south africa bei ni nafuu zaidi kwa games nyingi, kama saiv kuna offer ya fifa 17 wanauza rand 205 kwa ps3 na ps4 kwa rand 329. ila ukienda kwenye account zenye region ya US bei ziko tofauti.liljustine reedem code sio ps+ hapo i meant unanunua hizoo redeem codes then unaziweka ktk ps yako kama unavyoingiza vocha ktk cm yako
alaf utaenda kwenye games ps store
Mfano umenunua Codes za dollar 50 ukaenda ps store ukakuta gta 5 ni dollar 39 ukalinunua utabakiwa na dollar 19
still bei ipo juuWazee wa Ghost Recon Wildlands wahini save 40% $36![]()
Kama account yako ulichagua region ya south africa bei ni nafuu zaidi kwa games nyingi, kama saiv kuna offer ya fifa 17 wanauza rand 205 kwa ps3 na ps4 kwa rand 329. ila ukienda kwenye account zenye region ya US bei ziko tofauti.
NJOO INBOX NIKUUZIE ACCOUNT YA PS PLUS ITAKAYOKUWEZESHA KUFATA GAMES ZA MWEZI HUSIKA BUREEE
KWA MWEZI HUU UTAWEZA KUPATA GAME KAMA
-JUST CAUSE 3
-ASSASSINS CREED FREEEDOM CRY ----- BUREEE
------------FOR-----FREEEEEEE-----
ACCOUNT NINAZO ZAID YA 100 NAUZA ACCOUNT MOJA KWA BEI NDOGO TU SANA NJOO INBOX TUONGEE
-- ACCOUNT HIYO NITAKAYO KUUZIA NI MEMBER WA PS PLUS TAYARI.
KILA MWEZI UTAWEZA KUDOWNLOAD Games 3 kali.
hii ni kwa
ps3
ps4
ps vita
![]()
14 DAYSHio subscription ya ps plus ni ya muda gani
HATA IVYO KUSAVE IYO DISCOUNT YA 60% OFF NI LAZMA UWE MEMBER WA PS PLUSMie acount yangu ya US nilinunua fifa 17 march kwa 17 usd only sijui ilikua ofa gani cd nikaiuza kwa 100,000
Now ipo on sale kwa 15 usdView attachment 569874
14 DAYS
games zaid ya 10 za free kwa ps plus all time pia za free kwa mwezi husikaHio acount ina games ngapi ambazo ni purchased