danali
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 1,135
- 1,675
Ok gud luck mkuu upande wangu sikua interstedgames zaid ya 10 za free kwa ps plus all time pia za free kwa mwezi husika
Ila ungejaribu ku mantion atlist 5 games kati ya hizo 10 maybe ingekaa poa zaid
Kuhusu ps plus 14 days (hope ni zile trials days) ni kidogo sana.
Ushauri kama una acount yenye games nunua subsciption ya mwezi mmoja au mitatu usiradeem code zake mpaka utakapopata mteja.
Kwenye price utaplus hio subscripition acording on how much u gain
Nb
Code za subscription hua zina dedline