Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

FIFA 17 $20 now mwisho tarehe 5 June

upload_2017-5-31_15-57-5.png
 
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndo muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi kama 65000 za huku.
Nikukumbushe CD ya ps4 ya Fifa 17 inauzwa mpaka 130,000
857ddb99abcb6afc6db5dbf683cebd51.jpg

Hio apo proof. Mimi namalizia taratibu za kupata mastercard nilinunue leo

2dfe89533d41a58a06dc1e887b8176db.jpg

Pia yapo magem mengine mengi yanauzwa kwa promotion kwa wiki mbili hizi. Wahini wadau.

Kwa wale mnaocheza online mnaweza kuniadd gamer tag yangu ni wizzyquan
Ni alike bac kwako nije nikufunge goli mkuu
 
Back
Top Bottom