Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Ozi za laki nne zinauzwa wapi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
msela yupo Dar unampigia unaenda kuchukua used ipo kwenye box ,pia kuna mwingine ana duka hapo hapo dar anauza mpya kabisa kwenye box ngoja nikupe screenshot
23979556-5D90-4302-A1C8-0144DDCD9A68.png
4F361B75-2E92-4C88-8DE6-1ACB6E849730.png
D648A721-C141-44E4-B82F-21E11C81F3FC.png
8F53A2A1-8647-44C4-9A81-AA1374FDE422.png
 
Ivi izi zipo tofauti maana naona kuna nyingine Nakuta zinauzwa mpaka 600k 700k ?

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna play station 4 mbili ,play station 4 na play station 4 pro mkuu
lakini ukienda maduka makubwa nasikia ndio bei ina range hapo laki 6 mpaka million 1
kwa za hao jamaa huyo mmoja naona ana shida na pesa so ameamua kuuza ,huyo mwingine itakuwa ameziagiza mwenyewe nje so anauza bei hiyo maana hana hasara
 
msela yupo Dar unampigia unaenda kuchukua used ipo kwenye box ,pia kuna mwingine ana duka hapo hapo dar anauza mpya kabisa kwenye box ngoja nikupe screenshotView attachment 1437757View attachment 1437758View attachment 1437759View attachment 1437760
Ww utatapeliwa muda si mrefu ps4 mpya dukani unaipata kwa laki 8, ps4 pro mil 1-1.2

Mkononi si chini ga lak5. Kuwa makini huko kupatana wamejaa matapeli wanao kuwekea picha za mtandaoni. Mara nyingi hukimbilia kusema kuwa wako Zanzibar watakutumia mzigo kwenye boti. Kuwa makini hizo bei si halisi.
 
ahsante mkuu, nipo makini nitaifata ananikabidhi mkononi baada ya kui test
 
Ww utatapeliwa muda si mrefu ps4 mpya dukani unaipata kwa laki 8, ps4 pro mil 1-1.2

Mkononi si chini ga lak5. Kuwa makini huko kupatana wamejaa matapeli wanao kuwekea picha za mtandaoni. Mara nyingi hukimbilia kusema kuwa wako Zanzibar watakutumia mzigo kwenye boti. Kuwa makini hizo bei si halisi.
Namshauri atafute asus rog au hp pavillion au hp omen 17

☆Magnum Opus☆
 
Hiyo 1.2 M unaweza build powerful gaming pc au ukanunua powerful gaming laptop ambayo itakuondolea gharama za kununua ma cd ,au kununua magemu sony , just una download tu kwa bando la usiku

☆Magnum Opus☆
Mkuu ni Pc gani ambayo ina uwezo mkubwa wa kucheza games kubwa mfano Gta 5 nk
 
Ubaya ni pale magemu ya console unaplay at 30fps na graphics zipo optimized at medium setting na wakati unaweza pata 60-144fps with graphics optimization ya ultra-4k , hapo bado sijaongelea kwamba red dead redemption hizo ps4 zenu zitapata tabu sana hata kusukuma at high settings sana sana mta play na mix ya medium to low settings , na games nyingi za titles ya AAA kwa console now days ni majanga .
N.b
Msitutambie kuwa na exclussive games za console ambazo pc hazipo kwa kuwa baada ya ryzen kuingia mzigoni now days tunazisukuma hizo games za ps4 kwa kutumia emulators .

☆Magnum Opus☆
 
Mkuu ni Pc gani ambayo ina uwezo mkubwa wa kucheza games kubwa mfano Gta 5 nk
Hizi ni minimum recquirements (means uta run at mix ya minimum and high settings at 30 fps )

Processor: Intel Core 2 Quad CPU Q6600 @ 2.40GHz (4 CPUs) / AMD Phenom 9850 Quad-Core Processor (4 CPUs) @ 2.5GHz. Memory: 4GB. Video Card: NVIDIA 9800 GT 1GB / AMD HD 4870 1GB (DX 10, 10.1, 11) Sound Card: 100% DirectX 10 compatible

☆Magnum Opus☆
 
Mkuu ni Pc gani ambayo ina uwezo mkubwa wa kucheza games kubwa mfano Gta 5 nk
Halafu kama unapenda heavy games hasa hizii AAA titles nakushauri utafute pc ambayo ni powerful kwa kuwa magemu mengi now days yana deppend kwenye cpu na graphics card ram ukiwa na 8 gb inatosha soo kulingana na ww mwenyewe unaweza tafuta high end pc ambayo itarun hizo games smooth

☆Magnum Opus☆
 
Back
Top Bottom