grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 4,014
- 5,655
Bei inategemeana na specifications mkuuhiyo Asus Rog inauzwa bei gani mkuu ?
☆Magnum Opus☆
Bei inategemeana na specifications mkuuhiyo Asus Rog inauzwa bei gani mkuu ?
mkuu upo nondo sana kwenye haya ma kituUbaya ni pale magemu ya console unaplay at 30fps na graphics zipo optimized at medium setting na wakati unaweza pata 60-144fps with graphics optimization ya ultra-4k , hapo bado sijaongelea kwamba red dead redemption hizo ps4 zenu zitapata tabu sana hata kusukuma at high settings sana sana mta play na mix ya medium to low settings , na games nyingi za titles ya AAA kwa console now days ni majanga .
N.b
Msitutambie kuwa na exclussive games za console ambazo pc hazipo kwa kuwa baada ya ryzen kuingia mzigoni now days tunazisukuma hizo games za ps4 kwa kutumia emulators .
☆Magnum Opus☆
powa, kuna wakati nilitaka kununua gaming PC sasa jamaa yangu akawa amenunua Asus core !6 nadhani ile,ilikua na Ram GB 8 afu akaniambia akicheza Games inachemka sana na kuwa nzito ikabidi niache kununua PCBei inategemeana na specifications mkuu
☆Magnum Opus☆
Gta 5 niliicheza kwa pc ya kawaida kabisaMkuu ni Pc gani ambayo ina uwezo mkubwa wa kucheza games kubwa mfano Gta 5 nk
Ukitaka kununua pc ya game usiangalie ram wala hdd hivi vitu si ishu coz ni rahisi kuviongeza.powa, kuna wakati nilitaka kununua gaming PC sasa jamaa yangu akawa amenunua Asus core !6 nadhani ile,ilikua na Ram GB 8 afu akaniambia akicheza Games inachemka sana na kuwa nzito ikabidi niache kununua PC
console gamers mna tabu aisee,hivi na hizi AMD ryzen cpu ambazo ni powerful than average intel i9 cpu halafu bado mnakomaa na hizo toy
☆Magnum Opus☆
Halafu kama unapenda heavy games hasa hizii AAA titles nakushauri utafute pc ambayo ni powerful kwa kuwa magemu mengi now days yana deppend kwenye cpu na graphics card ram ukiwa na 8 gb inatosha soo kulingana na ww mwenyewe unaweza tafuta high end pc ambayo itarun hizo games smooth
☆Magnum Opus☆
Kikawaida consoles devices hasa hizi ps na xbox huwa zinatumia cpu's za amd (amd jaguar for ps3-ps4 na amd ryzen 3 for xbox nimepata tetesi kwenye xbox x wamehamia ryzen 5 soon 😂) ambazo sio powerful tuki compare na cpu mpya za amd ryzen(5 and 7),ambapo ni cpu powerful na pia hazi cost hela nyingi.
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndo muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi kama 65000 za huku.
Nikukumbushe CD ya ps4 ya Fifa 17 inauzwa mpaka 130,000
![]()
Hio apo proof. Mimi namalizia taratibu za kupata mastercard nilinunue leo
![]()
Pia yapo magem mengine mengi yanauzwa kwa promotion kwa wiki mbili hizi. Wahini wadau.
Kwa wale mnaocheza online mnaweza kuniadd gamer tag yangu ni wizzyquan
Sio pc zote huwa zipo hivyo inavyoonekana jama yako hakuwa vizuri kwenye ku cheki specs za hiyo pc yake ila kama mpunga upo good unaweza pata hp pavillion kwa bei nzuri tu au hata hp omen 15 kwa bei poa .powa, kuna wakati nilitaka kununua gaming PC sasa jamaa yangu akawa amenunua Asus core !6 nadhani ile,ilikua na Ram GB 8 afu akaniambia akicheza Games inachemka sana na kuwa nzito ikabidi niache kununua PC
Mkuu waweza mention name ya izo pc ili ata mimi ambaye sina ujuzi na pc iwe rahisi kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwekea hapo mkuu na link zake na zote hizo ni budgeted si lazima uchukue za mpya za dukani unaweza agiza ebay au hata hapa hapa tanzania kuna ambazo ni used na ni below 1000$ ni very powerful gaming pc's .Mkuu waweza mention name ya izo pc ili ata mimi ambaye sina ujuzi na pc iwe rahisi kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakuu napenda kuongezea kitu kimoja ,kuna notebook moja ni (notebook ni laptop yyte yenye uwezo wa ku hold graphics card mbili) hii notebook ni ya kampuni kutoka china ni notebook moja nzuri sanaa aisee kitu kilichonivutia ni notebook ya kwanza ambayo ina uwezo wa kubadilishika cpu na inatumia mostly cpu za pc kawaida kwa graphics card haiwezi kutoka maana hata na hivyo ni powerful graphics card Nvidia RTX 2080 ti na pia kuna zenye Nvidia GTX 1080ti .Nimekuwekea hapo mkuu na link zake na zote hizo ni budgeted si lazima uchukue za mpya za dukani unaweza agiza ebay au hata hapa hapa tanzania kuna ambazo ni used na ni below 1000$ ni very powerful gaming pc's .
Nimekuwekea hapo mkuu na link zake na zote hizo ni budgeted si lazima uchukue za mpya za dukani unaweza agiza ebay au hata hapa hapa tanzania kuna ambazo ni used na ni below 1000$ ni very powerful gaming pc's .
Mwisho wa siku ni wewe na uamuzi wako mkuu ila unaweza pata chini ya hiyo kumbuka hapo nimekutajia kulingana na kampuni binafsi , 😂 halafu cd moja ya ps4 ni shi ngapi?Sasa mkuu gharama si zile zile tu tena hizo gaming pc ni gharama kidogo japo kwa pc waweza download game bila kununua ila unapata kwa gharama kubwa kulinganisha na ps 4 ambazo unapata kwa dollar 368 mpaka dollar 398 akati izo gaming pc ni dollar 800 uko na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Game moja la ps4 unalinunua mpaka laki 2.Sasa mkuu gharama si zile zile tu tena hizo gaming pc ni gharama kidogo japo kwa pc waweza download game bila kununua ila unapata kwa gharama kubwa kulinganisha na ps 4 ambazo unapata kwa dollar 368 mpaka dollar 398 akati izo gaming pc ni dollar 800 uko na zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahid mkuu ujiupgrade to ps4 unapitwa na mengTunasubir mpaka yaanze kuuzwa laki 3 hatuna haraka cc. Sasa ivi acha tutumie ps3 na magem yetu ya kuban nyie ps4 tusubirin kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app