mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndio muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi kama 65000 za huku.
Nikukumbushe CD ya ps4 ya Fifa 17 inauzwa mpaka 130,000
Hiyo hapo proof. Mimi namalizia taratibu za kupata mastercard nilinunue leo.
Pia yapo magemu mengine mengi yanauzwa kwa promotion kwa wiki mbili hizi. Wahini wadau.
Kwa wale mnaocheza online mnaweza kuniadd gamer tag yangu ni wizzyquan