Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Kwa wale wenye PS4 (Playstation 4)

Game moja la ps4 unalinunua mpaka laki 2.
Console zinapitwa na wakati, muda si mrefu ps5 inakuja ndio itakuwa habari ya mjini.
Pc inakuoffer vingi mbali na games tu.
You are very right kwenye uwezo wa pc vs ps4 no doubt abt that ila kuhusu gharama za game kwa maana ya cd sio ishu ps plus huwa wanatoa magame mazuri tu kila mwezi angalau mawili so unaweza usiwe unanunua cd za kawaida unapata game za ps plus,pia kuna free games zaid pia kuna game za offer mara kwa mara na yote 9,kumi kibongobongo anaweza mtu mmoja akanunua game mkalidownload na kutumia zaidi ya watu wawili through kuifanya ps4 moja kuwa primary na nyngne secondary account,chaguo ni la mpenz mwenye ila ninachoweza shaur mtu asije akafanya kosa la kujail break ps yake atajilimit mambo meng sana mazur ya online
 
Sasa mkuu gharama si zile zile tu tena hizo gaming pc ni gharama kidogo japo kwa pc waweza download game bila kununua ila unapata kwa gharama kubwa kulinganisha na ps 4 ambazo unapata kwa dollar 368 mpaka dollar 398 akati izo gaming pc ni dollar 800 uko na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

huwezifananisha gaming PC na console hata siku moja

unajua bei ya CD moja ya ps4 kiasi gani ? unataka game nyingi lazima uwe na CDs nyingi

ukiwa na gaming PC, games ziko bwerere oceans_of_games kule na kwengineko

ni kweli PC ni ghali, ila ni kwa mwanzo, mbele uko unaserereka

plus, ikitoka PS5, publishers wa CDs za PS4 wanapunguza na wanastopisha uzalishaji, so inabidi utupe PS4 udake 5
 
You are very right kwenye uwezo wa pc vs ps4 no doubt abt that ila kuhusu gharama za game kwa maana ya cd sio ishu ps plus huwa wanatoa magame mazuri tu kila mwezi angalau mawili so unaweza usiwe unanunua cd za kawaida unapata game za ps plus,pia kuna free games zaid pia kuna game za offer mara kwa mara na yote 9,kumi kibongobongo anaweza mtu mmoja akanunua game mkalidownload na kutumia zaidi ya watu wawili through kuifanya ps4 moja kuwa primary na nyngne secondary account,chaguo ni la mpenz mwenye ila ninachoweza shaur mtu asije akafanya kosa la kujail break ps yake atajilimit mambo meng sana mazur ya online
Mzunguko ni mrefu mkuu hapo.
Linapokuja swala la pc ni ww na bundle lako.
Kwangu console inalimit vitu vingi sina.
Yote kwa yote kila mtu anaangalia urahisi wake. Me kwangu pc ni the best muda wowote wakati wowote napata game nitakalo bila kuvizia vizia sijui sales.
 
Kama ni mpenz wa kucheza muliplayer online game console is the best option for me
 
Back
Top Bottom