Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.
Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.
Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.