Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.
Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.
Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.
Mwanangu umeshtukia ankupiga changa la macho nini hahah hahahaha aaaa.Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.
Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.
Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.
Ww ukitoka kwa nyumba ndogo acha hela hapo mezani rudi kwa mkeo mbio kabla nae hajatoka kwa nyumba ndogo yake! Mambo ya nani kaingia nani katoka haihuu! Ni biashara kama zilivyo zingine!
Hata Mkeo tu huwezi kuwa sure unapiga peke yako sembuse nyumba ndogo? Utapata pressure bure
Wapi mzeeee wa mpango wa kando .. Hahaha hahaaanyumba ndogo,kwa mafanikio zaidi rejea uzi wa The Boss(ukitaka kuwa na nyumba ndogo...the guide).
Nduka Original sio wewe ulishauri hapa au naota??Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.