Kwa wale wenye nyumba ndogo - soma hapa

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.

Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.

Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.
 
wewe tulizana hapa....mtu yoyote yule mwenye nyumba ndogo aatakuwa anajidanganya kuwa yupo pekeyake na mara nyingi wengi wanaingia pale wakijua kuwa hawapo peke yao....sasa chamsingi ni kuhakisha unapata chako basi mengineyo potezea.
 
Ww ukitoka kwa nyumba ndogo acha hela hapo mezani rudi kwa mkeo mbio kabla nae hajatoka kwa nyumba ndogo yake! Mambo ya nani kaingia nani katoka haihuu! Ni biashara kama zilivyo zingine!
 
Ww ukitoka kwa nyumba ndogo acha hela hapo mezani rudi kwa mkeo mbio kabla nae hajatoka kwa nyumba ndogo yake! Mambo ya nani kaingia nani katoka haihuu! Ni biashara kama zilivyo zingine!

Du mi yangu nilizani inanipenda aisee mana ukiwa nae baby, honey kwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
wewe tulizana hapa....mtu yoyote yule mwenye nyumba ndogo aatakuwa anajidanganya kuwa yupo pekeyake na mara nyingi wengi wanaingia pale wakijua kuwa hawapo peke yao....sasa chamsingi ni kuhakisha unapata chako basi mengineyo potezea.

Na hizi ndio zinazoleta magonjwa aiseeeee.
 
Sasa unafikiri wenyewe nyumba ndogo hawajui madhara ya nyumba ndogo, kila mtu ana shetani wake........
 
Whoever thinks that their sideline ho/ toyboy is committed to only them is a damn fool.
 
Bora umestukia. anaekupenda umemuacha nyumbani anajisononekea na kusumbuliwa na mafataki ww unahangaika kuibiwa tu huko. hebu filisika kwanza uone starehe ya small house, utatupiwa kirambo chenye visoksi vyako kama mchawi!
Du mi yangu nilizani inanipenda aisee mana ukiwa nae baby, honey kwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Yadi yadi yadi yadi
tumesikia vya kutosha
na tunazipenda nyumba ndogo zetu
wewe kaa na mkeo tu
 
nyumba ndogo,kwa mafanikio zaidi rejea uzi wa The Boss(ukitaka kuwa na nyumba ndogo...the guide).
 
nyumba ndogo ni wa2 v opportunist wanaku2miiia ww ukifirisika 2 kushneih
2lien na wake zenu wandugu hili gonjwa ni nouma...
wale wako kimasihar 2 hawana hata mapenz na nyinyi 4 ur infoo.
 
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.

Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.

Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.

Baambie mpendwa!
 
Nyumba kubwa ndo mambo yooteeee
Nyumba ndogo unatakiwa uwe nazo si chini ya tatu....:A S embarassed:
 
Ile ni sawa tu mchana unakuwa na nyumba ndogo naye mkeo anakuwa kwingine mkikutana usiku wote kumbuka mmeacha wenzenu wa mchana wanaendelea na mambo mengine ya usiku. Point yangu ni kwamba hilo tunalifahamu na tumelipa nafasi yake.
 
Umesahau kimoja: wakati wewe uko ka nyumba ndogo, mkeo yuko kwa serengeti Boys: Ngoma draw
 
Back
Top Bottom