dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,923
1. Nyumba ndogo LAZIMA iwe na heshima kwa mkeo na wewe mwenyewe,
akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife, UNAPIGA CHINI
FASTA.....hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa
mpango mzima.. kama hutaki mkeo ajue, basi iwe hivyo, na sio
vinginevyo, marufuku mashindano kati ya wife na nyumba ndogo...bora
zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao...
2. Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa
huduma nyumbani au kwa wife...ikiwezekana huduma ziongezeke home, ili
'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu ukishindwa
kipato basi jitahidi, chakula cha usiku.....but ukiweza vyote bora
zaidi...
3. Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au
kumuonesha yeye ni bora zaidi hata kama 'amekukoleza kupita maelezo'
hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo na yeye achukue
nafasi, hata kama ni hivyo..usioneshe hivyo, iwe siri yako mpaka
utakapoamua hivyo..
4. Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za
kiofisi au za familia..hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo unless
wewe na mkeo, mpo kwenye process ya talaka officially... akijitia
kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta..
5. Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya
watoto bado ya kubabaisha..ukiona nyumba ndogo ni gold digger ...
unapiga chini fasta...
6. Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke...kwa njia yeyote hile, kazi
ya nyumba ndogo ni kuku burudisha na kustarehe na wewe, majukumu kwa
mkeo...ukifanya kosa hili, si ajabu ukajikuta na nyumba ndogo ya pili
nyingine....
7. Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika. ikiwezekana imzidi
wife..ili mkeo akigundua awe mpole, ukichukua mwanamke mbovu, wife
atakudharau..na asiwe 'kicheche maarufu.. utaumbuka.
8. Kwa wanaopenda kuhonga, ukihonga gari nyumba ndogo, hakikisha
wife analo tayari ikibidi yawepo zaidi ya moja home, sio wife
anahangaika na daladala...nyumba ndogo umeinunulia vitz..
utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua..
9. Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo...tafuta sifa kwa ndugu
wa mkeo, ili hata zogo likitokea watakutetea....
10. Nyumba ndogo sio wife, usilete wivu kupita kiasi, ukiona
uaminifu hakuna, piga chini kimya kimya sio kuanzisha ugomvi mpaka
siri zinavuja.......