Kwa wale wazee wa suspension shuleni

Mi nlikula sunspaa nikimgomea mwalimu kunipiga X na mkasi kisa nina nywele ndefu!ukizingatia shule nzima wenye nywele ndefu walishapigwa X na ikabaki Mimi na jamaa angu!mi nikakomaa kuwa kuna magonjwa mengi so siwezi share mkasi so waniache ntarudi kesho nimenyoa!Displine office ikagoma yote na ukitegemea hapo nishakulaga sunspaa kama 5 toka nianze form 1 so nlivyoenda na hiyo kesi hata hawakusikiliza zaidi ya kutoa hukumu ya wiki 1,kurudi hom maza alikua kashasusa maana kila siku nina kesi tofauti na ukichek ana presha.akasema baba yako ndo atakuja.crazy enough ni kuwa baada ya kumaliza sunspaa nikarudi shule alhamisi!sasa ijumaa kuna michezo na kuna jamaa yangu alikuja na gari(ilikua inaruhusiwa) so akawa katupa lift turudi hostel,tuko njiani tukakutana na jamaa Wa shule ingine ana gari nae!tukamjaza ujinga Mwana kuwa tufanye racing!and we did race hadi shule tena! Tukamjaza tena kuwa apige msele(360) ndani ya shule afu tugeuke ndo turudi hostel!basi jamaa bila hiyana akafanya yake!haha tuliona headmaster na assistant wakitufuata huku geti likifungwa!na hapo nikasema we f*cked up!!na bahati displine office ilikua wazi bado!kwenda kule walimu kuniona kuwa na Mimi tena nipo ndo wakachoka kabisa!kimbembe kupeleka tena barua nyumbani,nikapeleka tena wakiwa wazee pamoja!Mama akabaki anasema nionee huruma nina presha which were hurtful words!!!aseeeeeee siwezi sahau life ya shule
Haaha umenifurahish kiongoz.,

Sis hatukupwag sunspaa

Ila utata ulizid hadi mwenzetu aliuliwa na raia aliitiwa mwiZ.

Rip dude
 
Daaah asee R.I.P!!acha tuu mkuu,na hivo visa viwili tuu!headmaster siku tumekutana akaapa kuwa akiniruhusu nirudi A-Level labda yeye siyo headmaster!!nikaenda shule ingine A level dooooh nikapigwa sunspaa zingine mbili hadi nimemaliza pale.juzi mama ananionyesha barua zangu zote na mafaili yenye ripoti nikabaki kucheka tuu..mama akawa ananambia hebu jionee ulivyotusumbua!

teen age mbaya sana,usumbufu na utata usiokua na maana hata!
 
Mi nlikula sunspaa nikimgomea mwalimu kunipiga X na mkasi kisa nina nywele ndefu!ukizingatia shule nzima wenye nywele ndefu walishapigwa X na ikabaki Mimi na jamaa angu!mi nikakomaa kuwa kuna magonjwa mengi so siwezi share mkasi so waniache ntarudi kesho nimenyoa!Displine office ikagoma yote na ukitegemea hapo nishakulaga sunspaa kama 5 toka nianze form 1 so nlivyoenda na hiyo kesi hata hawakusikiliza zaidi ya kutoa hukumu ya wiki 1,kurudi hom maza alikua kashasusa maana kila siku nina kesi tofauti na ukichek ana presha.akasema baba yako ndo atakuja.crazy enough ni kuwa baada ya kumaliza sunspaa nikarudi shule alhamisi!sasa ijumaa kuna michezo na kuna jamaa yangu alikuja na gari(ilikua inaruhusiwa) so akawa katupa lift turudi hostel,tuko njiani tukakutana na jamaa Wa shule ingine ana gari nae!tukamjaza ujinga Mwana kuwa tufanye racing!and we did race hadi shule tena! Tukamjaza tena kuwa apige msele(360) ndani ya shule afu tugeuke ndo turudi hostel!basi jamaa bila hiyana akafanya yake!haha tuliona headmaster na assistant wakitufuata huku geti likifungwa!na hapo nikasema we f*cked up!!na bahati displine office ilikua wazi bado!kwenda kule walimu kuniona kuwa na Mimi tena nipo ndo wakachoka kabisa!kimbembe kupeleka tena barua nyumbani,nikapeleka tena wakiwa wazee pamoja!Mama akabaki anasema nionee huruma nina presha which were hurtful words!!!aseeeeeee siwezi sahau life ya shule
Hahahaaa,,we nyoko sana mkuu,, hivi na ww wanao wakigom shule cku.moja kwel utaweza kuwamind?
 
Home mshua amehifadhi barua nyingi za saspaa kuliko report za matokeo yangu. .wazazi wangu wameijua mikoa mengine sababu ya saspaa, zingine za haki zingine magumashi. Bora uwe boya umalize shule ila ukiwa mwanaharati utabeba tranka na begi kila siku na barua za saspaa.
 
Duuu,, kuna watu wabishi bnaa… nmkuelew mkuu…!!
bila ubishi mambo hayaendi ila uwe umejiandaa maana nikikumbuka kosakosa za ticha maana kuna Siku ilibaki kidogo nikamatwe nikazama ndani ya kabati jumlisha na kuamka saa 11 asubuhi kuwahi kutoka maana geti la hostel lipo karibu na nyumba ya ticha.Kuna ka msoto hatari!!.
 
Home mshua amehifadhi barua nyingi za saspaa kuliko report za matokeo yangu. .wazazi wangu wameijua mikoa mengine sababu ya saspaa, zingine za haki zingine magumashi. Bora uwe boya umalize shule ila ukiwa mwanaharati utabeba tranka na begi kila siku na barua za saspaa.
Ila bora mzee ubebe tranka ukiwa unajua unachofany kuliko kuznguliw mpk unashkwa makalio uko kimya tuu…!!
 
Hahahaaa,,we nyoko sana mkuu,, hivi na ww wanao wakigom shule cku.moja kwel utaweza kuwamind?
Haha aaah wapi!naelewa asee,so sitomind!maana Mzee wangu pia alikua muelewa hadi akawa anasoma vitabu ili ajue shida yangu ni nini haswaa!so akawa anasoma kuhusu hyperactive behaviors za kids maana complaints no toka primary nlikua stubborn since!so it helped as from what I was na through his advice I believe I am a better person sasa
 
Hahahahaaa, mzee ikabdi aanze kupiga pind kabsa kisa ww tuu,,, daaa Mungu anakuon ulivomtesa mzee…!!
 
shule ya msingi nilipigwa moja kwa kosa la kuwanywesha wenzangu mkojo niliochanganya kwenye soda

secondary nikapigwa mbili moja nikiwa 4m2 kwa kumpiga mwalimu wa field na nyingine nikapigwa nikiwa 4m4 kwa kumshika MTT wa mwalimu matiti mbele ya mama yake baada ya kutoka kunichapa nikammalizia hasira zote mwanae

chuo ndo sijajua kama nitamaliza salama mungu anisaidie
 
Kutohudhuria misa (asubuhi na jioni) ni kosa kubwa sana kisheria.

Nililambwa ban ya miezi miwili kwa kutohudhuria misa moja pekee. Sijawahi kurudia kupata nyingine.
Daaah kweli wewe kamanda.......aaah nmeipenda hyo squad kaka...
Nilimtiaga Mimba Mtoto wa Mwalimu Mkuu, Nikapigwa Suspension ya Miezi Sita (Shukrani kwa Wazee Wangu walikaa na Mwalimu Mkuu kiutu Uzima) kipindi hicho niko form two...Nikaamishwa shule na kuletwa Day, Nilipofika Form Four nilimtia Mimba beki tatu wa mwalimu wa Nidhamu, Nikapigwa Suspension mpaka mtihani wa Mwisho (NECTA)...Kutokana na hiyo misukosuko Watoto wangu huwa nawaitaga Suspension Squad (SS)
 
dah nimechezea ban nyingi sana ila kubwa kuliko ni ya kidato cha 4 ilikuwa kuanzia march mpaka november kwenye NECTA.... kuna mwalimu nilimtia makonde kidogo
 
Mimi nakumbuka kuna madogo walikula ban miez mitatu .
Walichukua misumari na kupugilia kwenye kichwa cha ng'ombe wa shule ili zamu za kuchunga ngombe zisiwepo watakapo kufa.
But, kwa upande wangu nilikula ban wiki mbili kutokana na kufanya mgomo nikiwa form four
A-level tulipigwa ban miez miwili form six kutokana na kufanya mgomo na kuaribu baadhi ya vitu shuleni, siku hiyo tulipigwa na ffu hatari sana but Mungu alisaidia , tuliporejea shuleni tuliamishwa zaid ya watu arobain bila kupenda kutokana na kutuhumiwa kutumiwa kuhatarisha aman shulen
 
Mimi nakumbuka niliponea padogo Sana kupata sanspa shule. Nilikuwa hivi

Nilikuwa nasoma shule ya kutwa kwa miezi mi2 na nusu au mitatu tu.form one miezi ya mwanzoni mwanzoni kabisa kuna mwalimu akawa nanitia voko,mi nikawa namchomolea. Nakumbuka pia nilivyoingia tu shuleni ile nilishapewa vitisho vingi na wasichana wenzangu wakinikanya nisije nikawazoea wapenzi wao (Nilikuwa kisu,kwahiyo wakawa wanajihami)

Wakati Huo Huo kuna mvulana wa form three akawa anatangaza Nina tembea nae na akawa anawapiga beat wavulana wenzie wasinizoee. Nikaja sikia ashawahi kupigana na mtu kwa sababu alisikia kaniletea barua ya kunitongoza. Ukweli kuhusu huyo mvulana Mudy (sio jina halisi) hakuwa mpenzi wangu,Bali alikuwa ananipenda then akashindwa kuniambia,akawa anawatuma rafiki zake wafikishe Ujumbe tu of which nikawa nawajibu aje aseme mwenyewe. Yeye mwenyewe akawa akifika na crew yake ananisalimia tu wanakaa na Mimi wakipiga story zao bila kunisumbua,so sikuhangaika nae kukanusha taarifa zao ila Marafiki zangu walijua ukweli wote.

Sakata likaanza alivyompiga mwenzie tena (vicent,sio jina halisi la muhusika) alikuwa mtoto wa mwalimu,kesi ikapelekwa ofisini,ikamfikia mwalimu yule yule anae nitongoza kila kukicha. Na mbaya zaidi alikuwa ananifundisha,ikafika kipindi bila ya sababu ananifukuza katika kipindi chake nakaa nje,sikusita kueleza ukweli kwa mama yangu mdogo aliyekuwa anafanya kazi ofisi ya elimu as muhasibu. Mamamdogo akaanza michakato ya kunifanyia uhamisho kwenda shule moja ya serekali ya boarding. Ambapo A day b4 kesi ya kuitwa kwa wale waliopigana, niliitwa kwa headmaster nikachukue barua ya uhamisho ilikuwa Imekamilika na kufika pale ofisini kwake, lakini nilipokwenda nikaambiwa yupo kwenye kikao,sikuichukua.

Back to siku ya kesi,yule mwalimu akaagiza niitwe. Nilivyoingia tu ofisini akaanza sifa kutaka anichape bila Hata ya kunisikiliza,nikagoma. Tukio la Mimi kugoma likawavuta waalimu wengine mle ofisini,wengine wakitaka kujua kwanini nimegoma na wengine wakifoce nipigwe ambapo nikawakatalia,wakataka kutumia nguvu kwamba wanishike nipigwe.
Nashukuru Nilikuwa na mwalimu mmoja mtu mzima (tulizoea kumuita Babu) Sana akasema mwacheni kwanza,akaniuliza kwanini unakataa adhabu? (Na Ninajua alichagua kuniuliza kwa sababu alikuwa ananifundisha na alijua tabia yangu ya upole niwapo darasani,na kuna siku aliuliza Swali watu wengi walikosa sana,akasema atakaetoa jibu hili basi ni genius. Mwishoni kabisa Mimi nikajaribu, nikapatia since then akawa ananifuatilia maendeleo katika somo lake kwa ukaribu) nikamwambia sijui sababu ya kutaka kuchwapa,akawahoji waalimu Ndio wakasema nimesababisha watu wamepigana eneo la shule. Nikawauliza Mna ushahidi gani Kama Nina husika? Mwalimu akakosa jibu,instead akamind wakaitwa wale wavulana sikushtuka kwa sababu wote sikuwahi kudate nao wala kudate na mtu yeyote pale shule japokuwa Nilikuwa napata usumbufu mwingi sana.

Kesi ilikuwa yenye utata mkubwa Sana,kwani yule Mudy alikiri kudate na mimi. Ni vile nimejaaliwa mdomo wa chiriku nilimpa makavu live ya Uso mpaka wakaitwa rafiki zake mmoja mmoja wakaulizwa wao wakasema hadate nae. Lakini yule mwalimu niliye mkataa alishaniambia si ulijiona mjanja kunikataa Mimi,utaona nitakachokufanyia kwa hawa jamaa zako wapuuzi wenzako,nikamjibu to hell.

So,huyo teacher akachukizwa na jibu lile mle ndani akawa ana force niwe na hatia nipewe adhabu,Ndio akaanza kusema Nina tabia mbaya Hata kwenye kipindi chake sihudhurii na mitihani yake sijafanya so nipewe adhabu,nikapewa adhabu kuchimba shimo nikasema sichimbi on spot,niliamsha madude. Nilisemwa vibaya,jeuri,mtukutu Nina dharau kwa vile Ninajiona mzuri na maneno kibao kwa waalimu wa kike na wakiume wote isipokuwa babu tu na waalimu wengine wa2. Nilikasirika Sana,nikaanza kumpa makavu yule mwalimu nikasema alinitongoza nikamkatalia Ndio Maana hayo yote yametokea,lakini hawakuniamini badala yake nikaambiwa namsingizia mwalimu.

So waka discuss nikapewa suspension ya miezi mi2 na niende na mzazi. Nikaambiwa nisubirie barua yangu wakagonga kengere ya dharura. And on time headmaster Ndio anaingina eneo la shule,mimi Nilikuwa nje ya ofisi nasubiria barua na watu wajae assemble nitangazwe.

Nilivyomuona tu headmaster nikamfuata nikamwambia Jana nilifika sikukukuta,akaniambia barua yako ya uhamisho imefika njoo uichukue,nilifurahi Sana nikaenda huku nyuma nikaanza kuitwa niende assemble headmaster akajibu anakuja muda si mrefu,nikaenda nikapewa barua yangu ya uhamisho nikarudi assemble Hapo nikakuta nishasemwa vya kweli na vya uongo vyote naitwa nichapwe viboko,nkawaambia hamuwezi kunichapa,huku machozi ya Furaha yakinitoka plus hasira na donge Kali limenikaba kooni ,huku nawaonyesha barua yangu nikawaambia Mimi si mwanafunzi tena wa shule hii.

Wote wakabaki kushangaa,nikaenda darasani kwangu form one B kuchukua begi langu.

Nikawaza kwa dakika 5 nzima nikasema siwezi kuondoka hivi hivi. Nikatoka nikaenda moja kwa moja kwa headmaster nikakuta kuna ugomvi mkubwa baadhi ya waalimu,nilivyotokea wote wakabaki wanashangaa nkamwambia headmaster nimekuja kwako Nina Ujumbe wako kwa waalimu wote. Nikaelezea mwanzo mwisho na nikatoa ushahidi wa namba niliyoikuta katika daftari langu la somo alilokuwa anafundisha yule mwalimu aliyekuwa ananitongoza. Nilivyomaliza nikamwambia mwalimu babu asante kwa kuniamini lakini Una kazi Kubwa ya kuwalinda watoto wa kike dhidi ya mwalimu huyu,nikakabidhi kile kikaratasi kwa headmaster nikaondoka.

Huko nje Nilikuwa nazungukwa kila kona na wanafunzi niseme nini kimetokea. Nikawaambia mtaambiwa tu. Nikawaakusanya marafiki zangu nikawaadithia pale then nikachukua kibaskeli changu way to home.

Kiukweli sitokaa niisahau ile siku. Nilimshukuru Sana mama angu mdogo,ambae kwa sasa ni marehemu (may our Almighty God rest her soul in peace eternity)
 
Pole sana mkuu,, very interesting story, R.I.P Mama…!!!
 
Ujana mzigo sana,
Kipindi niko form two tutaka kuingia form three ilikua hivi,
Ulikua mtihani wa kwanza kwa Chemistry.Tuligawiwa karatasi zimegeuza na kuambiwa tusubiri mpaka tuambiwe kuanza.

Baadae tuliambiwa geuzeni karatasi zenu muanze maswali,mwl alitoka kwenda darasa jingine.
Baada ya kugeuza mhmmm mtihani ulikua umetungwa na mwl mpya na hakuna swali la kuchagua ata moj(sehemu kidogo ningebahatisha)

Kuangalia kila mmoja ananunguna mtihani mgumu.Niliona isiweshida hiyo siku ndo mwisho wangu kusoma science nitoke njee.
Nilitoka njee duh nakutana na mwl uku nimeshik mtihani wangu,aliuliza mbona umetoka nje nitamjibu mtihani ulikua mgumu.

Aliongea wee uku akinipeleka kwa Headmaster,Headmaster alifoka kwa hasira alikua anapenda kutuita wanafunzi my son/men.
My son why are doing this,uku alinipiga fimbo mbili.
Alikua mpole sana.

Baada ya apo nilipewa SP ya week mbili,mtiti ukaja kwenda home.
Kufika nikamkuta mama,ehee vp tena ndo zilikua zake hamna oho nimekumiss siku zote zilizowai kutoka shule sijui alijua kuna siku nitapea S.P
Nilimjibu nimefukuzwa shule,kaa hapo msubiri baba yako ndo jibu nililopewa.
Saa kumi mshua alikuja,yey ukiwa na mda hamjaona ulikua shule reception yake ilikua nzuri siku zote.
Ehee baba za shule,nikamjibu mzuri tu.
Ehee vp tena unaumwa,make nilikua sipitishi mwezi kujifanya naumwa nipate pesa ya matumiz.
Nikamjibu nimefukwa, hapo ndo itaanza shida kisa nikamwambia kisa kizima sema nikazidisha maswali mengi tulikua hatujafundishwa.Aliuliza maswali ehee nimekupeleka shule ufanyeje-nisome, ehee walimu watajuaje wanachokufundisha umeelewa-kimya
Aliniangalia akasema kati ya watoto wajinga we ni wakwanza.
Hiyo siku aliongea wee

Baada ya sik alimpigi headmaster wakakubaliana nirudi shule,nilirudi wakaongea sas naona mzee ili aonekane anamalezi ikabidi anipige bakola tatu ikapotzea.

Baada ya kufunga shule siku zimepita akakumbushia mzee ni mtu wa story sna make mwenyewe siongeagi.
Wew mtoto mjinga kweli uku akicheka yaani uliona ukimbie mtihani.
 
Nilikunya ktk staff ya walimu nakumbuka nilipewa adhabu ya kupiga deki staff na kusafisha maabara kutokana na kumchora academic master akiwa ameinamishwa na second master akipigwa mambo ,nilikana kama sio Mimi na adhabu ikawa ya form two wote kipindi hiko....dah zilitembea stick hatari na adhabu nyinginezo sasa Mimi kwa kuwakomoa baada ya staff kusafishwa jioni nikanya mavi ya kutosha then nikafunga mlango nikatembea......
 
Back
Top Bottom