Kwa wale wazee wa suspension shuleni

Nakumbuka tuliwakata mkia njuka kesho yake form two wote tukala ban then tuje na wazazi!
 
Mimi nilipataga suspension form six tuliibaga mafuta ya kuendeshea generator la shule tukamtafuta jamaa kitaa atutaftie mteja almost litre themanini na kitu .

Jamaa alipataga mteja akauza akazingua kuturudishia mshiko maana hatukuwa na ushaidi pia alijua Mali ya wizi .

Tulitegeshea tunafunga school tulimuwinda nyumbani kwake tulimnyanganya simu na ufunguo wa pikipiki na haikuwa yake maana alikuwa dereva bodaboda tukasepa zetu likizo jamaa alienda kutushitaki kwa mkuu wa shule.

Tuliporudi shule tukakuta tuna kesi ya kumshambulia mwanakijiji na kumpora tunamshukuru mungu tulijitetea na bahati nzuri swala la madai ya pesa akulisema alisema tumemteka tu tulipoulizwa sababu kwanini tumefanya hivyo tulidai alitaka kutudhulumu ila yeye hakuwepo maana alipopata simu na funguo akapotezea .

Tulipataga suspension ya miez miwili na fidia ya laki moja kwa kila mtu
 
Habari za asubuhi wapendwa,

Lengo la kuanzisha uzi huu sio kujisifia kwa kupewa suspension shuleni, najaribu kukumbuka tu yale yaliyofanya nikapewa suspension shuleni.

Nakumbuka katika maisha yangu ya shule nimebahatika kupigwa suspension mara mbili, ya kwanza nikiwa o-level na ya pili nikiwa advance.

O-level nilipgwa ban shuleni kisa tu nilimbishia mwalimu darasani kwa alichokua anafundisha alkua anakosea sas kumwanbia ukwel ikawa nongwa nikapigwa ban ya wiki mbili.

Advance nikala ban kwa kumtukana mwalimu mkuu mbele ya walimu wenzake,
kulkua na kikao cha wanafunzi na waalimu, sasa katika ku-present hoja nikajikuta mizuka imenipanda nikamropokea mkuu wa shule, hapo ndio nilisoma namba maana nilikula ban ya mwezi na wiki mbili plus kupewa barua ya kupitisha kwa Afisa elimu wa wilaya yangu nakotokea.

Sasa kimbembe kikaja kwenye kupeleka barua isainiwe na Afisa Elimu wa wilaya, nilimkuta Afisa Elimu complicator balaa, cha kwanza akanambia nitafute fimbo anipigie ofisini kwake halafu ofisi yake iko mjini ghorofa kama ya pili hivi, nikashuka kutoka juu nikazunguka kwa nyuma ya jengo nikamkuta mlinzi mmoja nikamuelezea situation nzima akanikatia fimbo, sasa naanzaje kupanda nayo juu ukawa mtihani mwingine.

Lakini nashukuru nilipompelekea fimbo akasema alikua ananijarbu kama naweza kuleta au nitafanya kiburi, akadondosha sahihi nikarudi zangu school, kila nikikumbuka huwa nabaki kujicheka mwenyewe.

Karibuni wadau kwa aliyewahi kula ban enzi za shule tupeane experience ilkuaje na ni nini kilisababisha upigwe suspension?
ungesema kufukuzwa skonga ningechangia. hapa acha tuwaache wale wa suspensions
 
Nakumbuka ilikua imebaki miezi kama mitatu hivi utaratibu wa shule kuwa na parade ijumaa na jumapili ,baadhi ya form six tukaamua kukacha parade kumbe Siku hiyo waliokacha parade walikua wengi, ticha akaamua kuita majina baadhi kusikia hivyo wakaamua kujisalimisha ticha akawasamehe nakumbuka tulibaki watu kama watu 15 hivi j3 wengine wakajisalimisha wakala adhabu tukabaki mimi na jamaa 1 hivi ticha kapiga biti tujisalimishe lakini wapi.Ticha akaamua kutangaza adhabu yetu ni kudeki madarasa kuanzia siku tunaanza pepa la six mpka tunamaliza kila siku! Nakumbuka ilikua imebaki siku kama 30 hivi tupige pepa usiku huo kulikua na parade kama kawaida nikaamua nisiudhurie nimetoka tu nje ya hostel nikakutana na ubishi wa mpira tukabishana pale mpka mda wa ticha anatoka kwake kuja parade nilipoona geti linafunguliwa tu mm nikavuka barabara nikapotea kumbe ticha aliniona akawabana wale tuliokua nao wakanitaja akawapa kazi ya kunitafuta na wanipeleke kwake .Nakumbuka kesho yake asubuhi washikaji hao wakanielezea kila kitu wakaniambia nijipeleke mwenywe nikagoma huku nikiwaelezea tofauti na kosa hilo pia ninakosa jingine kutokana na ticha kuwakazia washikaji nikaamua kujipeleka nikapewa niandike barua.kichwa cha barua kilisomeka "KUTOROKA HOSTEL KWA MAKUSUDI"nikakiri nikaomba nisamehewe daah kumbe niliharibu maticha kufikishiwa barua wakakomaa kwanini niandike makusudi.Nikala spaa ya wiki2 nakumbuka siku napigwa spaa tulikua form six tumegoma kufanya midterm basi maticha wakaamua tusipige pepa ikawa kama likizo. Kwasababu madogo walikua ndo wanaanza pepa ,nimefika tu hostel nikafungua barua nikaisoma nikakuta n spaa ya wiki2 lakini tarehe ya kurudi shule ni zaidi ya wk 2 kesho yake nikawaibukia maticha kwa kisingizio anko ameshindwa kuielewa hio spaa wakaamua j3 nije na anko wakati ukicheki nilijitungia ikabidi nifanye michakato ya kumpata anko feki akili ikawaza haraka niende meridian maana ilikua nisehemu yenye watu wengi isitoshe ni wanaobeti nami nilikua mpenzi wa michezo hio nikamtafuta mzee mmoja lakini nilipomdadisi nikaona anaweza choma ! .Jumapili usiku nikasogea maeneo ya chichi pale kunawaendesha baiskeli wengi kwa wakazi wa tanga wanafahamu hili nikampanga mmoja akanielewa .J3 ilipofika tukatimba nae shule mshikaji akavaa uhusika kweli kama anko sema walimu wakapunguza wiki 1 na spaa ikawa palepale na inaanza baada ya likizo nikamlipa jamaa buku 5 nikamwabia nyingine tutamalizia siku ya mwisho maana walimu walisema nirudi tena na anko . Likizo ikaisha na ile wiki 1 zote nilikua nalala hostel kimagendo kutokana na kipi bndi hicho nilikua na hela niliokula betting msosi nilikua najitegemea japo nilipata shida ya kukwepana na yule ticha maana ndo alikua patron nakumbuka alinikosa kosa Mara mbili kunikamata .Siku zilivyoisha ikabidi nimpigie anko feki tukamalize mambo kupiga namba haipatikani ikanibidi niende mwenyewe kufika walimu wanataka niende na anko nikawaambia anko yupo mjini flani walipouliza mji uko wap nikawaambia Zambia kutokana na anko mara ya kwanza kujitambulisha kama mfanyakazi wa saruji ,mimi nikasema ni dereva na amepeleka saruji Zambia walimu walikaza sana ikabidi niingie darasani kibishi ukizingatia wiki zilikua ndo zinaisha ili kuingia kwenye pepa . Mwishoni ikabidi walimu wakubali tu !!!.
 
Nilimtiaga Mimba Mtoto wa Mwalimu Mkuu, Nikapigwa Suspension ya Miezi Sita (Shukrani kwa Wazee Wangu walikaa na Mwalimu Mkuu kiutu Uzima) kipindi hicho niko form two...Nikaamishwa shule na kuletwa Day, Nilipofika Form Four nilimtia Mimba beki tatu wa mwalimu wa Nidhamu, Nikapigwa Suspension mpaka mtihani wa Mwisho (NECTA)...Kutokana na hiyo misukosuko Watoto wangu huwa nawaitaga Suspension Squad (SS)
ahahaaaa
 
Nakumbuka ilikua imebaki miezi kama mitatu hivi utaratibu wa shule kuwa na parade ijumaa na jumapili ,baadhi ya form six tukaamua kukacha parade kumbe Siku hiyo waliokacha parade walikua wengi, ticha akaamua kuita majina baadhi kusikia hivyo wakaamua kujisalimisha ticha akawasamehe nakumbuka tulibaki watu kama watu 15 hivi j3 wengine wakajisalimisha wakala adhabu tukabaki mimi na jamaa 1 hivi ticha kapiga biti tujisalimishe lakini wapi.Ticha akaamua kutangaza adhabu yetu ni kudeki madarasa kuanzia siku tunaanza pepa la six mpka tunamaliza kila siku! Nakumbuka ilikua imebaki siku kama 30 hivi tupige pepa usiku huo kulikua na parade kama kawaida nikaamua nisiudhurie nimetoka tu nje ya hostel nikakutana na ubishi wa mpira tukabishana pale mpka mda wa ticha anatoka kwake kuja parade nilipoona geti linafunguliwa tu mm nikavuka barabara nikapotea kumbe ticha aliniona akawabana wale tuliokua nao wakanitaja akawapa kazi ya kunitafuta na wanipeleke kwake .Nakumbuka kesho yake asubuhi washikaji hao wakanielezea kila kitu wakaniambia nijipeleke mwenywe nikagoma huku nikiwaelezea tofauti na kosa hilo pia ninakosa jingine kutokana na ticha kuwakazia washikaji nikaamua kujipeleka nikapewa niandike barua.kichwa cha barua kilisomeka "KUTOROKA HOSTEL KWA MAKUSUDI"nikakiri nikaomba nisamehewe daah kumbe niliharibu maticha kufikishiwa barua wakakomaa kwanini niandike makusudi.Nikala spaa ya wiki2 nakumbuka siku napigwa spaa tulikua form six tumegoma kufanya midterm basi maticha wakaamua tusipige pepa ikawa kama likizo. Kwasababu madogo walikua ndo wanaanza pepa ,nimefika tu hostel nikafungua barua nikaisoma nikakuta n spaa ya wiki2 lakini tarehe ya kurudi shule ni zaidi ya wk 2 kesho yake nikawaibukia maticha kwa kisingizio anko ameshindwa kuielewa hio spaa wakaamua j3 nije na anko wakati ukicheki nilijitungia ikabidi nifanye michakato ya kumpata anko feki akili ikawaza haraka niende meridian maana ilikua nisehemu yenye watu wengi isitoshe ni wanaobeti nami nilikua mpenzi wa michezo hio nikamtafuta mzee mmoja lakini nilipomdadisi nikaona anaweza choma ! .Jumapili usiku nikasogea maeneo ya chichi pale kunawaendesha baiskeli wengi kwa wakazi wa tanga wanafahamu hili nikampanga mmoja akanielewa .J3 ilipofika tukatimba nae shule mshikaji akavaa uhusika kweli kama anko sema walimu wakapunguza wiki 1 na spaa ikawa palepale na inaanza baada ya likizo nikamlipa jamaa buku 5 nikamwabia nyingine tutamalizia siku ya mwisho maana walimu walisema nirudi tena na anko . Likizo ikaisha na ile wiki 1 zote nilikua nalala hostel kimagendo kutokana na kipi bndi hicho nilikua na hela niliokula betting msosi nilikua najitegemea japo nilipata shida ya kukwepana na yule ticha maana ndo alikua patron nakumbuka alinikosa kosa Mara mbili kunikamata .Siku zilivyoisha ikabidi nimpigie anko feki tukamalize mambo kupiga namba haipatikani ikanibidi niende mwenyewe kufika walimu wanataka niende na anko nikawaambia anko yupo mjini flani walipouliza mji uko wap nikawaambia Zambia kutokana na anko mara ya kwanza kujitambulisha kama mfanyakazi wa saruji ,mimi nikasema ni dereva na amepeleka saruji Zambia walimu walikaza sana ikabidi niingie darasani kibishi ukizingatia wiki zilikua ndo zinaisha ili kuingia kwenye pepa . Mwishoni ikabidi walimu wakubali tu !!!.
Duuu,, kuna watu wabishi bnaa… nmkuelew mkuu…!!
 
Mi nlikula sunspaa nikimgomea mwalimu kunipiga X na mkasi kisa nina nywele ndefu!ukizingatia shule nzima wenye nywele ndefu walishapigwa X na ikabaki Mimi na jamaa angu!mi nikakomaa kuwa kuna magonjwa mengi so siwezi share mkasi so waniache ntarudi kesho nimenyoa!Displine office ikagoma yote na ukitegemea hapo nishakulaga sunspaa kama 5 toka nianze form 1 so nlivyoenda na hiyo kesi hata hawakusikiliza zaidi ya kutoa hukumu ya wiki 1,kurudi hom maza alikua kashasusa maana kila siku nina kesi tofauti na ukichek ana presha.akasema baba yako ndo atakuja.crazy enough ni kuwa baada ya kumaliza sunspaa nikarudi shule alhamisi!sasa ijumaa kuna michezo na kuna jamaa yangu alikuja na gari(ilikua inaruhusiwa) so akawa katupa lift turudi hostel,tuko njiani tukakutana na jamaa Wa shule ingine ana gari nae!tukamjaza ujinga Mwana kuwa tufanye racing!and we did race hadi shule tena! Tukamjaza tena kuwa apige msele(360) ndani ya shule afu tugeuke ndo turudi hostel!basi jamaa bila hiyana akafanya yake!haha tuliona headmaster na assistant wakitufuata huku geti likifungwa!na hapo nikasema we f*cked up!!na bahati displine office ilikua wazi bado!kwenda kule walimu kuniona kuwa na Mimi tena nipo ndo wakachoka kabisa!kimbembe kupeleka tena barua nyumbani,nikapeleka tena wakiwa wazee pamoja!Mama akabaki anasema nionee huruma nina presha which were hurtful words!!!aseeeeeee siwezi sahau life ya shule
 
Back
Top Bottom