Heeee. Usinchekeshe (sosi Faiza fox)..Kwani wewe ulikuwa hujui?Ngoja nikutajie list ya mababu ninao wajua. Mwita Maranya , Dark City The Boss , Asprin , Kaizer , Invisible Superman Thanda , Mtambuzi Nyani Ngabu list goes on....Na siku nyingine nitawataja mabibi
Leo vibabu vimepanda bei ghafla, mhhh hadi kibabu Asprin kimeamua kijifiche
Naona mnadai haki ya kutambuliwa km wawezeshaji, msijali hlo mmelipata....lingine?Halafu wewe Mrembo by Nature, hebu basi tumia maneno yenye staha unapoongelea watu wenye heshima zao kuanzia home hadi huko wanakochukua pensheni zao...
Hapa hakuna vibabu, kuwa waBabu wenye P ya kuwatosha wao wenyewe na vitegemezi vyao vyote...na bado kuna wanyatiaji.....
Babu DC!!
Huu ni wa Bibi,
Ila nakupa copy tu....may be utakupa kitu kiduchu kwa siku yako ya leo,
Babu DC!!
Naona mnadai haki ya kutambuliwa km wawezeshaji, msijali hlo mmelipata....lingine?
Babu na Bibi Vijana!!! Kumbe Babu DC bado wamo kwenye idara hii Mkuu...Ningeshangaa sana kama rafiki yangu FP asingekuwekea like maana wimbo huu humgusa hadi kwenye nanihii!!!! :majani7::majani7::majani7:
jamani naomba hii siku tuifurahie pamoja tupendane tudumishe umo na amani lakini yasijetokea kama haya...
View attachment 83137
Babu Dark City na Asprin wape vijana somo na maana ya hii siku ya wapendanao ( si kwa vitendo)
CC:-Zion Daughter ,Smile , Kongosho,YNNAH,Lisa,mwaJ,KOKUTONA na wengineo
rafiki ulijuaje? ha haaaaBabu na Bibi Vijana!!! Kumbe Babu DC bado wamo kwenye idara hii Mkuu...Ningeshangaa sana kama rafiki yangu FP asingekuwekea like maana wimbo huu humgusa hadi kwenye nanihii!!!! :majani7::majani7::majani7:
Mh! kwahuyo mwanaizaya kwa red, hakika lazima na wewe utakua mtuhumiwa. Mi nawaangalieni tu......:glasses-nerdy:Heeee. Usinchekeshe (sosi Faiza fox)..Kwani wewe ulikuwa hujui?Ngoja nikutajie list ya mababu ninao wajua. Mwita Maranya , Dark City The Boss , Asprin , Kaizer , Invisible Superman Thanda , Mtambuzi Nyani Ngabu list goes on....Na siku nyingine nitawataja mabibi
Am torn between 2babuz and 1 serengeti King'asti is my witness:shut-mouth:
Hapo sasa ndo umechafua hali ya hewa...
Nalog off....
Muwe na V day njema....
Babu DC!!
Usi-log off bana
NAkusanya courage ya kufunguka, whoo knows nataka kumfungukia nani.
Ninyi wawili wote wanaizaya..Lakini Ngoja aje mwenyewe ajibu tuhuma..Naona unataka kunipakazia kesi za EPA namimi hapa naona chengachenga. Superman njoo ujibu tuhuma hizi..Mh! kwahuyo mwanaizaya kwa red, hakika lazima na wewe utakua mtuhumiwa. Mi nawaangalieni tu......:glasses-nerdy: