You are very smart, umepata. Hata hivyo kuna step moja tu imerukwa, au imeshughulikiwa pasipo kuwa na ufasaha unaohitajika kimahesabu.
Kwenye step ya pili kutoka mwisho, ameandika integral ambayo inaonyesha kuwa anafanya integration with respect to "u" na wakati huo huo kwenye equation yake akiwa bado anatumia variable ambayo ni "μ" (myu), na siyo "u". Kimahesabu hali hii siyo sahihi sana. Alitakiwa aseme kwanza kuwa "since u=μ, then......"