INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

Mkuu naleta tena masihara, tunaovuna maji ya mvua hayahitaji kusafishwa mpaka nilete masihara tena, kama Nina kisima changu cha Lita elfu 50 INA maana siwezi kuyasafisha??
 
Mkuu naleta tena masihara, tunaovuna maji ya mvua hayahitaji kusafishwa mpaka nilete masihara tena, kama Nina kisima changu cha Lita elfu 50 INA maana siwezi kuyasafisha??
Yanasafishwa. Tuletee sample yake tuyapime, utuambie unahitaji machine yenye uwezo gani kisha tufanye.
 
Kabisa mkuu. Maji ya uhai yanatengenezwa kwa technology hii hii mkuu tunayotumia sisi.
hayo maji uliyoyataja mbona yana pH kubwa sana kulinganisha na mengine,binafsi nikifululiza kuyanywa siku 3 vidonda vya tumbo vinanirudia,hakuna namna hizo mashine zako zinaweza kupunguza hiyo pH?
 
Mkuu natamani sana kujua bei.... Alafu kingine, naomba kuuliza swali la kijinga kama maswali mengine, je, hiyo technology ya kuchuja ni tofauti na reverse osmosis?
 
Mkuu natamani sana kujua bei.... Alafu kingine, naomba kuuliza swali la kijinga kama maswali mengine, je, hiyo technology ya kuchuja ni tofauti na reverse osmosis?
Reverse osmosis ni technology ya zamani mkuu. Bei zetu zinaanzia milioni 4 na kuendelea.
 
Mpaka sasa hujaweka bei.. hiyo masine ni ya kichawi bei yake damu ya mtu au
 
hayo maji uliyoyataja mbona yana pH kubwa sana kulinganisha na mengine,binafsi nikifululiza kuyanywa siku 3 vidonda vya tumbo vinanirudia,hakuna namna hizo mashine zako zinaweza kupunguza hiyo pH?
Nimetolea mfano tu mkuu ila machine zetu zinachuja maji kwa kiwango ambacho ni acceptable kwa standard za maji safi na salama. Maji inayotoa lazima tuyapime maabara ili kumkabidhi mteja report ya maji safi na salama.
 
Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi kuna hasara nyingi. Watu wengi hata hizi rangi za ngozi tulizo nazo hudhani ni ngozi yetu kumbe ni maji tu yametufanya tuwe na ngozi isiyovutia.

Kuoga maji yasiyokuwa na chemical yeyote hung'arisha na kuifanya ngozi yako iwe na nuru ya kuvutia na kukufanya ujisikie vizuri. Kunywa maji baridi na matamu yasiyokuwa na chemical zozote huongeza siku za kuishi na kufurahia matumizi ya maji nyumbani. Tafadhali usiteseke kwa maji ya chumvi. Kama una kisima chenye maji ya chumvi usihofu tena Samaritan Water Solution LTD wana suluhisho la tatizo lako.

Gharama za machine zinategemea na uwezo wa machine na shida iliyopo kwenye maji ya mteja. Kwenye maji kuna vitu vingi i.e. magadi, chumvi microorganism kama vile bacteria, virus na parasites pia kuna chemical kama nitrate na nitrite etc. Kabla ya kumtengenezea machine mteja lazima kwanza maji yake tuyapime maabara ili kujua yana chemical zipi.

Tukishapata report ya maabara ndio tunategeneza machine kulingana na tatizo la maji yake. Kukiwa na vitu (minerals) vingi kwenye maji ya mteja basi bei itakuwa ni tofauti na bei ya mteja let's say anahitaji machine kwa ajili ya maji ya DAWASA. Pia bei inategemea uwezo wa machine yaani mahitaji ya maji ya mteja. Mteja mwenye uhitaji wa machine yenye kutoa let's say litre 3,000 kwa siku bei yake itakuwa tofauti na bei ya machine yenye uwezo wa kutoa litre 10,000 kwa siku.

Tunatumia technology ya hali ya juu sana kuhakikisha maji yanakuwa laini, masafi na salama "Ultrafiltration with X-flow membrane technology".

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa njia zifuatazo: info@samaritanwater.co.tz 0676405024 au 0682717749 au tembelea tovuti yetu kuona huduma zetu zingine.





kaka water filter system ifuatayo mnauzaje

1. option A

Big blue canisters za 10 x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

  • Sed filter washable 50micron
  • Sed filter Poly 5micron
  • Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron


1. option B

Big blue canisters za 20. x 4.5 ikiwa na filter zifuatazo

[*]Sed filter washable 50micron
[*]Sed filter Poly 5micron
[*]Carbon (coconut ) with KDF85 Filter 5micron

nipe bei hizo option hapo juu kufunga nafunga mwenyewe,

pia mnasupply brand gani

NB: namba zenu hazina majibu au haziko whatsap?
 
Asante sana...kesho mapema sana



usisahau pamoja na kuwa inaondoa iron na inasafisha maji jla matumizi endelevu ya chlorine sio mazuri kwani inaleta cancer kwa kunywa maji yenye chlorine ama hata kuyaoga maana inaingia mwilini.. so hakikisha unaichuja kwa kutumia filter za carbon activated.. weka walau hata filter moja tu
 
Back
Top Bottom