Gaza: Israel kujaza maji ya chumvi kwenye mahandaki ya Hamas

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Serikali ya Israel chini ya jeshi la IDF linapanga kujaza maji kwenye mahandaki yanayotumiwa na wapiganaji wa HAMAS huko Gaza. Jeshi la Israel IDF limesema kwamba mara baada ya hatua ya kwanza ya kusambaratisha miundombinu ya HAMAS huko Gaza kumalizika, hatua itakayofuata ni kujaza maji ya chumvi kutoka bahari ya Mediterranea na kuingia ukanda wa Gaza. Taarifa zinasema mpaka sasa Israel ipo kwenye hatua za mwisho za kufunga mashine kubwa kwenye mwambao mwa bahari ya Mediterranea ambazo zitatumika kupamp maji kwa kasi kubwa kuelekea kwenye mahandaki hayo.

Israel inapanga kutumia mashine aina ya Pentair Fairbanks Nijhuis HP1-4000.340. Pump hiyo ina uwezo wa kusukuma maji Lita 60,000 kwa sekunde moja tu. Ina nguvu ya HP 5364. Pia ukubwa wa kipenyo cha Mita 5. Pump hii ilishinda rekodi ya Guiness World record holder mwaka 2004. Mashine hii tangu mwaka 2004 inatumiwa na nchi ya Uholanzi kusukuma maji kutoka Bahari ya kaskazini (North Sea) mpaka mji wa Amsterdam. Pump hiyo moja inauwezo wa kukausha maji yote ya mto Nile kwa masaa 310.

Kabla ya kuja na mbinu hiyo, Israel ilitafakari mbinu mbalimbali za kuweza kuharibu kabisa mahandaki hayo na wapiganaji wa HAMAS ambao wengi wao wamo ndani ya mahandaki hayo. Njia hizo ni:

-Kupiga sumu ya Sulphur Dioxide na Chlorine kwenye mahandaki. Mbinu hii ilipingwa vikali na Marekani waliposhirikishwa kuhusu hili wakidai kwamba endapo Gas hizo zitavuja kwenye mahandaki na kuja juu basi watu wengi wasio na hatia watakufa. Pia walidai kwamba kwa kuwa mahandaki hayo baadhi yanaishia kwenye makazi ya watu basi watu wengi watakufa.

-Kujaza Liquid Nitrogen kwenye mahandaki. Liquid Nitrogen inauwezo wa kugandisha chuma au jiwe na kukatika kama mkaa. Pia Wazo hilo lilipingwa na Marekani ikidai kwamba Liquid Nitrogen inaweza kusababisha watu wengi Gaza hata walio nje ya mahandaki kufa kwa Baridi. Liquid Nitrogen inauwezo wa kupunguza joto la mazingira hadi Nyuzi joto - 890° na kusababisha ardhi ya Gaza kutitia chini na majengo kuanguka kwakuwa mahandaki mengine yapo kwenye nyumba za watu.

-Kujaza maji ya chumvi kutoka Mediterranea. Wazo hili liliungwa mkono na Marekani japo lilipigwa na wanasayansi wa Kimazingira ndani ya CIA. Endapo maji ya Chumvi yatajazwa kwenye mahandaki basi Ardhi ya Gaza haitaweza kuotesha mazao yoyote yale kwa zaidi ya miaka 300 ijayo. Wanamazingira wameionya Israel kusitisha mpango huo kwakuwa ni hatari kwa mazingira ndani ya Ardhi ya Gaza.

Worlds-Most-Powerful-Water-Pump-768x577.jpg
Worlds-Biggest-Pump-Being-Moved-into-Position.jpg
Most-Powerful-Water-Pump-on-Back-of-Truck.jpg
 
Serikali ya Israel chini ya jeshi la IDF linapanga kujaza maji kwenye mahandaki yanayotumiwa na wapiganaji wa HAMAS huko Gaza. Jeshi la Israel IDF limesema kwamba mara...
Wewe punguani kweli si umetoka kuandika kuwa Israel wameharibu maandaki 800 saizi unakuja na uhuro mwingine wa maji😂😂😂
 
Mimi naona Hii ni kama Psychological weapon ,kuwafanya hamas watoke mashimoni ,swali LA kujiuliza kwanini umtangazie adui yako kwamba utafanya Hivi na vile si ufanye kimya kimya tu ,ili kumkomoa .
 
Mwisho wa siku Neta nyagu atawekwa nyuma ya nondo.

Operation ya ngapi Hiyo inabuma?
 
Marekani kimenuka huko 😂
🚨 BREAKING: FBI DIRECTOR WARNS OF ELEVATED TERRORIST THREAT IN US

"I've never seen a time where all the threats or so many of the threats are all elevated, all at exactly the same time."

When asked by Senator Lindsey Graham, in comparison to before 9/11, if he is seeing “blinking red lights”, Wray said:

“I see blinking lights everywhere I turn."

Source: @Breaking_4_News
 
Imekuwa Hollywood movie et? Yaan uwanja wa mapambano uchukue video clear namna hiyo? We jamaa una magott kichwani
☠️ The israeli army admits the elimination of 2 more officers, killed by Hamas in the Gaza Strip:

🔻Master Sgt. (res.) Matan Damari, a squad commander in the 215th Artillery Regiment's reconnaissance company
🔻Master Sgt. (res.) Ilay Eliyahu Cohen, of the 551st Brigade

This is the highest number of announced deaths by the IOF so far (7) which means they are getting heavy damages by the resistance.

Kumbuka hizo ni namba za kisiasa kichapo ni kikubwa.
 
Hiyo mbona Cha mtoto, 2006 Jeshi la Israel liliunganisha mabomba kutoka bahari ya Mediterranea mpaka kwenye mahandaki 600 na kuyafulika na maji. Mwisho wa zoezi mahandaki yakaanza kutumika kama kawaida.
Mashariki ya kati na Asia ya kati Kuna jamii tatu ambazo Zina roho ngumu sana;
1. Palestines
2. Pashtuns(Talibans)
3. Kurds
 
Back
Top Bottom