maji chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Blauzi mbovu

    INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  2. Kanduru Rajabu Mpacha

    INAUZWA Mashine za kuchuja maji chumvi

    Kwa mahitaji ya mashine za kusafisha maji kama kuondoa chumvi, magadi, iron harufu mbaya , kubalance PH ya maji , kuboost calcium na kuondoa chemical hatarishi kama arsenic acid wasiliana nasi tuna mifumo inayoweza kutumika majumbani, mashuleni,’colleges, taasisi binafsi na serikali mpaka...
  3. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini barabara ya maji chumvi (Jeshini - Tabata Kimanga) haipigwi lami pamoja ya kuwa na umuhimu kupindukia?

    Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu. Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
  4. konda msafi

    INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Samaritan Water Solution LTD ni suluhisho la tatizo la maji chumvi. Tunatengeneza machine bora kabisa za kuchujia maji chumvi na kuwa maji baridi zaidi hata ya maji ya DAWASA. Kutumia maji chumvi kuna hasara nyingi. Watu wengi hata hizi rangi za ngozi tulizo nazo hudhani ni ngozi yetu kumbe ni...
  5. uchumi2018

    Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  6. konda msafi

    Tunachimba visima na kuuza machine za kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    Samaritan Water Solution LTD ni wataalamu wa kuchimba visima kwa kutumia mitambo ya kisasa kabisa. Tunafanya survey kwa bei nafuu. Pia tunatengeneza machine za kuchujia maji kwa wale wenye visima vya maji chumvi. Pia tunafunga irrigation system kwa wale wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Pia...
  7. maufoungph

    Tunauza samaki wa maji chumvi

    Wauzaji wa samaki wa maji chumvi aina zote na bei raisi tupo DAR kivukoni,tunakuletea mpaka ulipo lakini tunakusafirishia Kama upo nje ya DAR. Call/SMS 0711756654 na WhatsApp 0719438200
Back
Top Bottom