Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

Tumeingoja hii game sana haiwezekani dk zikimbie hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kile kipindi cha kuwatakia Heri Watu Waliokufa sijui πŸ€’πŸ€’, yani TBC aise.
Wameonesha game vizuri kabisa wanastahili pongezi waendelee hivi kwa Kila mechi kubwa watasaidia Sasa waende hadi final na kwa mechi zingine
 
nje ya mada kidogo,nyie mnaotumia ving'amuzi vya antena hivi mnapata quality???mm nimefunga mbona naona kama hakuna quality???hebu nijuzeni maana nimejitwika king'amuzi cha azam antena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom