Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,031
- 4,236
Habari za jioni wakereketwa wa kabumbu.
Ebwana kutoka kwenye chanzo cha ndani kabisa na kwa mtu Makini na kiongozi wa Simba ambaye ni miaka 4 sasa anafanya kazi Simba amenipa dondoo nne za kusimamishwa kwa mwamba wa Lusaka.
1- Chama aliuomba uongozi kuvunja mkataba wake mwenyewe ili abadilishe mazingira (akadhani uongozi utamgomea) lakini uongozi wa simba ulikuwa tayari umesharidhia na ombi lake hapa chama alipigwa na butwaa kwani kuvunja mkataba wake ni Pesa ndefu Sana...
2-Kwa wale ambao waliwai kufika uwanjani siku ile Simba anacheza na waydad Casablanca, muda wa warming up chama alimuomba jamaa flani hivi mpira punde si punde kocha wa viungo aliwaita wachezaji wote ili waendelee na program cha ajabu chama hakutaka kuenda kwenye program ya kocha wa viungo ananga'nga'nia apewe mpira na yule jamaa akamkazia kumpa mpira....hii ilipelekea chama kukasirika sana mpaka matola kumsihi zaidi ya mara tatu chama akafanye mazoezi na wenzake(walio kuwepo uwanjani waliona hili tukio live).
3- Chama hataki kamwe kuwa mbadala wa mchezaji yeyote pale Simba anataka aanze kupangwa yeye hataki kuingia akitokea SUB,katika hili chama ashajiona yeye ni Ronaldo pale Simba kwamba kumuweka benchi ni dharau na kumkosea heshima.
4-Chama aligomea tena mazoezi ya viungo Jana hii ilimkasirisha Sana kocha Benchika na rasmi akamtoa kwenye mipango yake.
Hatahivyo chama ajitumi mazoezini , ajishughulishi na amejisahau kwamba hakuna mkubwa katika timu.
Tutegemee mawili katika maamuzi ya kikao cha kamati ya nidhamu
1-Chama kutakiwa Kila khery Simba.
2- Au kupumzishwa mechi sita zote za mashindano ya ndani na nje.
Hizi ni habari za kweli kabisa achana na wazee wa udaku.
Namimi kama Abby.
Chambuzi genius.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app