asa unangaliaje mechi TBC bora uende banda umizaBraza Leo ijumaa kuu siendi bar kuharibu ubongo Leo nimetulia ndani kutafakari
Hongera sana mkuuWamekuja dah
Leo tunashinda bhana usiwaze🤣🤣🤣niache bhana😒
Lipia 25,000 Azam 😊😊😊Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
Shukrani sana, Tayari niko bar mkuu😁Wamekuja mkuu mi balozi wao hakuna kama tbc kilichobaki tuone kama Tau ataonekana kama Tau au atakuwa mfupi
Uwahi center. Ndugu yangu wewe uko Chigoma.Braza Leo ijumaa kuu siendi bar kuharibu ubongo Leo nimetulia ndani kutafakari
Siti ya mbele kabisaUliamua kuwahi ni vema
Brother angu pia na yeye kanambia ivyo ivyo..😊😊Hiyo nimeipeleka kwenye kuku wa pasaka mwezi huu naishi na tbc tu
😅😅😅😅DaaahTitle iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
🤣🤣🤣Shida sio kuja hawashindwi kukatiza mechi wakaweka makala ya kilimo cha Alizeti
Aridhio sioHiyo nimeipeleka kwenye kuku wa pasaka mwezi huu naishi na tbc tu