Kwa wale mlioko tanga msaada wenu

Kwa wale mlioko tanga msaada wenu

Nimeshakaa huko ni blaa blaaa tu,usipokuwa makini utakutana na fungus tu,sana sana wanahusudu manukato ya udi,ubani n.k lakini kwenye usafi kama watoto wa mjini, hakuna.
Mshanajr em pita na huku kwanza

Ulikuwa unaishi sehemu gani? Maana wilaya ya Pangani ndo nilipokuwa nikiishi,
Kule wamejaa shombi shombi wa kutosha ila kuwapata sasa, maana huwezi jua kama wapo free, mpaka uzoee, mi kijiji cha mwera ndo ukweni

Pia Tanga mjini wapo wengi tu na ni wasafi ila kama sio mwenyeji utapata tabu sana, maana kuna siku nilikuwa na wife kipindi hicho sikumuoa nilimwacha Lodge mi nikaingia kitaa kumchukulia chipsi nikakutana na mtoto wa kiarabu ile kumwangalia tu akanielewa ..........

Pia kuna siku nilienda na wife mgahawani alikuwa na tumbo hilooo, muhudumu sijui hakujua kama niliyenae ni wife tukawa tunatizamana sana mwishowe akanielewa....

Mimi kule ni mwenyeji maana ndo ukweni kuna jamaa yangu anataka mwisho wa mwezi wa tatu twende....
 
Hao waarabu ndio ugonjwa wangu Mkuu, utakua lini huko Pangani - Tanga?
 
Kwa kweli kwa sasa ratiba zimenibana mno, ila kuna jamaa yangu anataka kwenda mwezi wa tatu mwishoni ndo alikuwa anataka nimsindikize kwa kuwa yeye ni mara yake ya kwanza kwenda, pia nimemwambia nitakuwa free kuanzia mwezi wa tano
 
Back
Top Bottom