Kwa wale mlioko tanga msaada wenu

Ilo jiji usipofata protocol zake hata uwe na Gari na mshiko utakula makombo tu afadhali ata dar au chuga ukishakuwa na mkoko warembo kama wote, Tanga panataka utulivu mana totoz hawazururi wala kujianika ovyo pata mwenyeji wa mama hawa micharuko uletewe mpaka Hotelini vimwana
Nimekupm mkuu
 
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
Huwezi ukapata watoto wazuri bila ya kuwa na mwenyeji mjanja, Tanga napaheshimu sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufika siku moja tu unataka uzijue raha zote za Tanga??

Ungekuwa mwindaji haswa usingeuliza namna ya kukamata windo ndani ya Tanga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, mkuu mm nahitaji sehemu classic ya kuenjoy najua huko nitakuta maua classic hizi nilizoelekezwa na wwnyeji nimezitembelea bado sijazikubali kabisa
 
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
Cyo kwamba Wote wamekimbilia Mjini@

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, mkuu mm nahitaji sehemu classic ya kuenjoy najua huko nitakuta maua classic hizi nilizoelekezwa na wwnyeji nimezitembelea bado sijazikubali kabisa
Pia ukitaka wa kuoa unapata, ila wanajua kupenda hao, wanajua mahaba hao, nimeoa mmoja nipo naye hapa home, yaani leo tangu asubuhi sijatoka mpaka muda huu

Huyu alikuwa ni rafiki wa dada yangu, hivyo nimempata kupitia yeye nikamwambia, "nataka awe wifi yako"
"Akanijibu hana tatizo we fuata utaratibu tu"
 
Sasa niunganishe na huyo dada yako anitaftie mmoja classic

Huyu Dada yangu kwa sasa yupo chuo huku Dar anamaliza mwaka huu mwezi wa tisa

Mi nilikutana nae tangu 2014 alikuwa anakuja kwa Dada kipindi dada anaishi Tanga ndo akanivutia nikaamua kubeba jumla hasa nilivyokutana na K mnato japo haina SEAL

We nipe ishu si ana connection huku
 
Mkuu ninavokaandika text hii now Niko forodhani hapa watoto wapo wa kawaida na mazingira ya kawaida sana, na hapa wenyeji wananionesha baa Moja iko pembeni wanasema inaitwa chichi wanasena kunakuwa na club usiku lakini Ni pabovu balaa yaani pachafu balaa, Kuna sehemu nilieekezw tanga pazuri na hapo ndo tumekula chakula Cha mchana ni Kama mgahawa flani Ule utamu wa tanga ninaosikia watu wakiuhubiri sijaupata bado huu wa "TANGA RAHA"

Nimekwambia jioni sidhani kama waijua jioni ya kiswahili ..zunguka iyo mitaa mixer nyumbani hotel utapata unachokitaka .. afu na kiwanja kingine ma fikiri kiko kule maeneo ya chuda

Umeenda na assumption zako basi subiri ikukere ila tanga raha ungekuwa unakaa kama week ungeleta mrejesho
 
Huwa ni porojo tu hakuna kitu,utakutana na chafuchafu tu, rudi Dar,AR,au Moshi hutojuta.
 
Kweli mkuu hata mm nimeona hamna kitu huku, Ni baiskeli nyingi tu zaidi ya gari barabarani...
Nimeshakaa huko ni blaa blaaa tu,usipokuwa makini utakutana na fungus tu,sana sana wanahusudu manukato ya udi,ubani n.k lakini kwenye usafi kama watoto wa mjini, hakuna.
 
Nakubaliana na wewe now Niko hapa tangapazuri ndo wanapopahusudu lakini naona wapo hawaeleki eleweki japo Kuna live band.. napoteza mda hapa saa3 tuanze tu Safari ya kurudi kulala huku tena hapana ngoja turudi town
 
Ndio hivyo ila kama mtataka totoz,ongeeni na hao wenye hotel,au bodaboda watawapatia coordination,vinginevyo mji umepoa.
 
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
Dah umezunguka sana mkuu si ungeuliza tu moja kwa moja bila hiyo story?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom