Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

Darius

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
1,951
Reaction score
320
Shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefaulu, so ila kuna sheria balaaa sababu mkuu wa shule anasimamia sheria balaa anaitwa Saimon Molega Mongate(double m)!

KAMA UNA JAMBO LOLOTE UNATAKA KUJUA KUHUSU NDANDA JUST CALL ME
 
yes ni shule nzuri nimesoma pale 2007-2009,hm ni mkulya wawe na nidhamu tu watafauru tu bila nidhamu watafukuzwa shule.
 
shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictnep, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefauru, so ila kuna sheria balaaa coz mkuu wa shule ana simamia sheria balaa anaitwa saimon molega mongate(double m)!

Waambie wawall waupande wa pili wakija kuliona hilo kanisa la hapo ndanda isiwe sababu ya kudai yamsikiti kwani hilo kanisa halikuhengwa na serikali.

Ni hayo tuuu
 
shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefauru, so ila kuna sheria balaaa coz mkuu wa shule ana simamia sheria balaa anaitwa saimon molega mongate(double m)!

yes ni shule nzuri nimesoma pale 2007-2009,hm ni mkulya wawe na nidhamu tu watafauru tu bila nidhamu watafukuzwa shule.

Waambie wawall waupande wa pili wakija kuliona hilo kanisa la hapo ndanda isiwe sababu ya kudai yamsikiti kwani hilo kanisa halikuhengwa na serikali.

Ni hayo tuuu

ahsanteni sana ndungu zangu.. nimechaguliwa huko wadau,, naomba mnifahamishe zaid khs hii shule, nmeona jez dam ya mzee, what else.. Af pia natakiwa niandae tsh ngapi kukamilisha mahtaj yote? Km ada, sale na michango mingne?
 
andaa visu vya kutosha kwa ajili ya JIHAD.
 
ahsanteni sana ndungu zangu.. nimechaguliwa huko wadau,, naomba mnifahamishe zaid khs hii shule, nmeona jez dam ya mzee, what else.. Af pia natakiwa niandae tsh ngapi kukamilisha mahtaj yote? Km ada, sale na michango mingne?

dgo hongera sanaa! Nauli elf 22 kata gar la kwenda masasi, then unashka ndanda, shule ipo kma dka 9 au 10 ktka barabara kubwa ila kwa bda bda buku tuu! Khsu ada chek jnng instructn also kuhusu sare cheki ktambaa dam ya mzee na mashat mikono mirefu! Dgo me nimegraduate hapo mwaka huu EGM!! umeplkwa comb gan ww
 
Mkuu una mfahamu Robinson Fabian?
 
dgo hongera sanaa! Nauli elf 22 kata gar la kwenda masasi, then unashka ndanda, shule ipo kma dka 9 au 10 ktka barabara kubwa ila kwa bda bda buku tuu! Khsu ada chek jnng instructn also kuhusu sare cheki ktambaa dam ya mzee na mashat mikono mirefu! Dgo me nimegraduate hapo mwaka huu EGM!! umeplkwa comb gan ww
thanks bro,
nimepelekwa HGL, vipi mazingra ya shule yapo kitaaluma zaidi au chenga tuu?.. Halafu nilisikia kuhusu fujo fujo shuleni wameacha?..
 
Hge nakuja apo vip paukweeh? Au ndo vile ma bro! Nijuzen kama nimepata tkt ya kwenda chuo na vp kutoka mbeya ad apo ni kias gan kwa upande wa nauli?
 
madogo wotee mliochaguliwa ndanda, kwa sasa shule ina usimamizi mzuri na ina mazingira mazuri ya kujisomea na kuhusu swala la fujo(udini) shulen hapo lilishasoviwaa na ndo maana akaletwa mkuu wa shule mwingine ambaye ana masihalaa katika elimuu yuko fair mpaka anawaletaga walimu wa part tme mfno; kwa wale wa history ' mwl mkumba' na wengne kbao wa practical(in case of science) so dgo kwa comb ya hgl, hge Mbna uhakika kutoka na hta comb zetu zile pc kunan!!
 
Ahsante kwa taarifa mkuu.. Wacha tuende tukajionee..
 
Back
Top Bottom