Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

Shule yangu "O" Level hadi 1972! (Ilikuwa inaitwa Abbey Sec. School)
 
yaah! Madogo inabdi mjuaneeee! Coz nyie ndo wana 'ndabo' nw (ndanda boys)
 
Msaada, nahitaji joining instruction.. NDANDA HIGH SCHOOL
 
dgo utatumiwaa, ila ukiona inachelewa andaa ela ya ktsha utaenda kuikuta huko hko coz mwaka we2 wengine joining waliikuta hko hko shule!
 
nendeni mkafanye tena chokochoko za kidini
 
Hge nakuja apo vip paukweeh? Au ndo vile ma bro! Nijuzen kama nimepata tkt ya kwenda chuo na vp kutoka mbeya ad apo ni kias gan kwa upande wa nauli?

Wewe ni HGE??*.... Pale hge means CHUO asee...mimi hapa mwanaHGE mwenzako nimeua pale mwaka huu...almost darasa zima limefaulu na aliyefeli saana ana 3 ya 17...hge z the hom of talents pale ndanda...nakupa ujumbe wangu ukawaambie wenzio kuwa tunataka kusikia mmebeba kombe la mbuzi kwa mara ya 3 mfululizo hahahaaaa.....ndanda z my best school ambayo mi siwezi kuisahau.....hutojuta kuchaguliwa ndanda iwapo tu utajua kumkwepa mkuu MONGATE THE ANIMAL
 
nendeni mkafanye tena chokochoko za kidini

Wewe acha maisha ya kukariri...ndanda hakuna tena udini,hakuna fujo na amani ya kutosha ipo pale....kamugisha mwambie huyu asianze kuwalisha sumu wana mapema yote hii
 
hakuna aliyewalisha sumu hapa ila najaribu kuweka sawa vijana waende wakapige kitabu haya maswala ya chokochoko za kidini waachane nazo
 
Wewe ni HGE??*.... Pale hge means CHUO asee...mimi hapa mwanaHGE mwenzako nimeua pale mwaka huu...almost darasa zima limefaulu na aliyefeli saana ana 3 ya 17...hge z the hom of talents pale ndanda...nakupa ujumbe wangu ukawaambie wenzio kuwa tunataka kusikia mmebeba kombe la mbuzi kwa mara ya 3 mfululizo hahahaaaa.....ndanda z my best school ambayo mi siwezi kuisahau.....hutojuta kuchaguliwa ndanda iwapo tu utajua kumkwepa mkuu MONGATE THE ANIMAL

Big up xana mkuu umenifariji coz nilitaka nihame asa iv sing'ok pale ndanda na nakuhakikishia kuwa ujumbe wako usha fika na mbuz tutachukua tena so usijar au sio.haaaaaaaarah!!!!!
 
Hahahaaaa sawasawaaa....yani we ukifika tuuu utajua tu kama hge ni home of trophy...winning mentality ni kubwa sana....vipaji vya kila aina....mshikamano wa hatari na kikubwa zaidi ni darasa linalofanya vizuri zaidi academically...kwenye mock kati ya div one 26 hge ilitoa 17 bila kuwa na 4 hata 1....inatosha kukuonesha ni watu wa aina gani...myself hge imenifanya nimekuwa msanii mzuri tu na bado darasani nikaweza kumaintain..ni kwa sababu muda wa kusoma kila mtu anakuwa busy asee,pia kule hakuna wivu wa kijinga watu hawasomi kimashindano bali ni kufikia malengo,so tunashare materialz na mwisho wa siku malengo yametimia kwa 99%
 
hakuna aliyewalisha sumu hapa ila najaribu kuweka sawa vijana waende wakapige kitabu haya maswala ya chokochoko za kidini waachane nazo

Ulipita pale mwaka gani mkuu???.....pale siku hizi ukijulikana una chembe za udini kwenuuuu unafungasha virago
 
mfashisti hahahaha kijana nilikuwa nasubiri unipolomoshee matusi nikulipue
 
Back
Top Bottom