Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

Shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefaulu, so ila kuna sheria balaaa sababu mkuu wa shule anasimamia sheria balaa anaitwa Saimon Molega Mongate(double m)!

KAMA UNA JAMBO LOLOTE UNATAKA KUJUA KUHUSU NDANDA
JUST CALL ME

Namba Iko Wapi We Kijana
 
Nilikuwepo Huko Juzi Wala Madogo Msitishikee... Uongozi Wa Sasa Hivi Unajielewa Sana Ukiacha Ule Wa Mwl. Sowan
 
Attachments

  • 1436997026389.jpg
    1436997026389.jpg
    52.7 KB · Views: 182
  • 1436997108995.jpg
    1436997108995.jpg
    73 KB · Views: 189
  • 1436997172085.jpg
    1436997172085.jpg
    55.4 KB · Views: 193
  • 1436997365366.jpg
    1436997365366.jpg
    42 KB · Views: 309
  • 1436997509270.jpg
    1436997509270.jpg
    71.9 KB · Views: 185
Shule ni nzuri ina huduma muhimu kama maji, hospital, walimu na umeme, coz imezungukwa na wamissionary wa shirika la benedictne, aisee nimegraduate pale 2013 na nimefaulu, so ila kuna sheria balaaa sababu mkuu wa shule anasimamia sheria balaa anaitwa Saimon Molega Mongate(double m)!

KAMA UNA JAMBO LOLOTE UNATAKA KUJUA KUHUSU NDANDA JUST CALL ME
naomba mnitumie joining instructions ya ndanda high school kwenye email yangu au whatsapp no 0657579580 or email mjacksonville20@gmail.com
 
Peru peru Ndanda boy! My school mkuu wetu wa shule alikua Milinga akifuatiwa na V.G Lulukila nakumbuka mbali sana!!!!
 
Back
Top Bottom