Hahahaaaa sawasawaaa....yani we ukifika tuuu utajua tu kama hge ni home of trophy...winning mentality ni kubwa sana....vipaji vya kila aina....mshikamano wa hatari na kikubwa zaidi ni darasa linalofanya vizuri zaidi academically...kwenye mock kati ya div one 26 hge ilitoa 17 bila kuwa na 4 hata 1....inatosha kukuonesha ni watu wa aina gani...myself hge imenifanya nimekuwa msanii mzuri tu na bado darasani nikaweza kumaintain..ni kwa sababu muda wa kusoma kila mtu anakuwa busy asee,pia kule hakuna wivu wa kijinga watu hawasomi kimashindano bali ni kufikia malengo,so tunashare materialz na mwisho wa siku malengo yametimia kwa 99%
10x thana ma bro. Vp kuhusu mlo na hali ya hewa kiujumla?