Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Duuuh! Ndanda shule yangu. Nilimaliza pale 2006 na kijiti changu. Enzi hizo ndo ilikuwa kwenye transition yakwenda kuwa Boys xul. Nawapa moyo wadogo zangu mkazingatie Elimu na hatimaye mtatoka tu.