SUPERUSER
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 960
- 304
wakati nikiwa nabrowse kutafuta movies za kudownload...nikadownload series inaitwa PICKUP ARTIST...jamaa anafundisha watu jins ya kuwa na confidence,jins ya kuanzisha mazungumzo unapokutana na msichana club,barabarani etc,jins ya ku initiate 1st kiss etc...kwa wale ambao hamjaangalia u should find it,it's really great trust me...najua a lot of guys out there tunaishiwaga maneno esp unapokutana na msichana ambae unampenda..kazi kwenu wadau