Mnyang'anyi
Member
- Jul 10, 2011
- 72
- 51
Hii itakuwa ya madomo zege wa kizungu, version ya kiswahili bado wakuu, msipeane moyo bure. wee unazani toto linalokula mahindi ukalitokee na pick up artist ya dvd litakuelewa?
Halaf naona kama hiki kizazi cha kiume kinapoteza daireksheni siku hizi! khaaaa![/QUOTE]
... SIO KIZAZI CHA KIUME TU, SIKU HIZI JINSIA ZOTE HAZINA MWELEKEO!!
skills zimepotea... sababu kubwa ni kuwa hazihitajiki; almost wadada wote ni kama maharage yale mengine ...maji mara moja.
utafikiri wanashindana kukubali! huu utandawazi huu... we acha tu.
afu ndo mtu upoteze muda kutafuta sijui CD sijui... bora iwe ya kuwarudisha wadada kwenye mstari. Enzi zile bana, ukiwa na demu mtaani heshima! so siku hizi...