Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,224
Kuna nini unatarajia?Week inayoanza kesho ndio itaamua what am gonna do for lifing.
Kuna nini unatarajia?Week inayoanza kesho ndio itaamua what am gonna do for lifing.
Kam umemuelewa alichomaanisha sas unahaja gani ya kutoa ufafanuzi badala ujibu kulingana na ulivomuelewaNakuunga mkono mkuu, alitakiwa aulize mnafanyaje ili muweze kuendesha maisha, ila ukishasema mnafanyaje kupata kipato wewe sio jobless tena, labda kama alikua anazungumzia kazi za kuajirilwa.
Ni lazima ujue kutumia lugha vizur mkuu, ukijifanya mjuaji unaweza ukajibu kitu ambacho mwenzio hakuwa anakusudia.Kam umemuelewa alichomaanisha sas unahaja gani ya kutoa ufafanuzi badala ujibu kulingana na ulivomuelewa
Nimeipenda courage yako.Nakumbuka nilivyokuwa jobless nilikuwa nashinda getto tu washkaji wananiachia buku ya kula, sometimes no, nikaona hapa kama nawapa mzigo na maishs yalikuwa magumu kweli
Nikapata sehemu ya kujitolea kuhudumu bar bure, (kumenya viazi, kuosha glass, kufuta na kupanga vinywaji n.k) malipo yalikuwa ni msosi wa mchana na wa usiku, ilikuwa mwaka 2011
Hebu tusaidiane ndugu zangu kwa wale jobless ni mbinu gani unayotumia kujipatia kipato cha kuendesha maisha
Hebu tupeane maujuzi ni mbinu unazotumia ambazo na sisi jobless tukizutumia tunaweza pata akiri na uwezo wa kujipatia kipato hata kama ni kidogo
Kama mi nikiishia hela nahisi kuugua yani nakuwa mnyonge si mchezo jaman....
Huu ni ukweli usiopingika
AminaUkiwa jobless unadharauliwa hadi na watoto wadogo aisee, watu wanatupa ushauri anza biashara sa mtaji unapata wapi wakati ukiwa jobless hata buku ni kaz kupata, utaskia uza simu nan atannua simu yako ya kuunga unga na rubber band kioo kimepasuka balaa Mungu atukumbuke tuu
Hahahah hali ya wengi Iyo mkurungwa🤣🤣Kama mi nikiishia hela nahisi kuugua yani nakuwa mnyonge si mchezo jaman....
kwa hiyo mkuu mambo yakatiki bila jashoNilikaa kitaa miaka 2 bila kazi. Application hazijibiwi. Ukipata interview lakini unakuta kwenye kuitwa kazini haumo. Kumbe mchawi ni kutafuta namba ya HR na kumpa pesa. Inshort 99% ya ajira siku hizi ni za kununua.
kwa hiyo mkuu mambo yakatiki bila jasho
tunajifunza kutokana na makosa ...huwa inatokeaNilijuta kwanini sikufanya hivyo mwanzo!
Hakuna muhehe mpuuzi hiviHalafu mpo online. Hizo buku za bando kila siku baada YA mwezi ni mtaji