Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,932
Yah..ulijua mi wa kikeni?
Sauti ilinipoteza maboya!
Yah..ulijua mi wa kikeni?
Sauti ilinipoteza maboya!
Acha hizo sauti yangu uliisikia wapi
Mwanamke mzuri ni yule alifanya aina zote za u.m.alaya akaamua kuacha
haijalishi umri
muhimu utulivu wa kimaendeleo.
KakaJambazi hii ni mara ya pili unaturushia mawe,sidhani kama umewahi kupenda na kupendwa na mwanamke,be 30 or below....pole!Above 30, HAJAWAHI FANYA, ambaye hajawahi toa mimba, kilomita isiozidi laki mbili! HAIWEZEKANI.
Sioi kicheche wala kicheche mstaafu. Hawezi acha, ni anakuwa na mbinu bora zaidi za kucheza na wachezaji wengine bila ya wewe kujua. Wanasema, a leopard can never change its spots.
Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
ukimuona mwanaume mwenye 'vigezo' jisogeze,tabasamu,msalimie 'kaka habari yako'
Ni mtazamo tu kuwa mwanamke akiwa mdogo ni rahisi kumuheshimu mumeo kwanza kama mume pili kama mtu aliemzid umri ama wewe umesahau ulivyokuwa unasisitizwa na wazaz ni lazima uheshimu waliokuzid umri? Na baadh ya wadada huwa na maringo sana wakiwa na 20s hata akisemeshwa tu barabaran na mwanaume yeye anakuwa mkal tu sasa unakuta taarifa zake za maringo zinasambaa kwa wanaume walio wengi na wanaamua kumpotezea tu had aje kushtuka kuwa hakuna mwanaume anatym nae yuko kwenye 30s ndo anaanza kurudi tena kwa wale aliekuwa anawaletea nyodo saa inakuwa too late wale wote washakuwa na wake zao...ndo unakuta mwanamke alikuwa decent ghafla anakuwa mama huruma kila akigongewa tu keshavua watu wanajilia nakutambaa mwishowe anakuja pewa mimba na mme wa mtu....Ndo kishney habar yake hivyo ....So msiwe mama huruma na msiwe rigid sana kuwa haste haste....nipe nipige kidogo huwezi jua mi ndo mme wako.....Ila si mimi, mi shakamata mwenza tunasukama gurudumu sasa.
Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
Baada ya kukaa Jamiiforums muda fulani, nimeshuhudia wadada wale wanaokaribia 30 ama wako above 30, wanaotafuta wenza wakidhihakiwa, leo nawauliza ina maana nyie mliooana mapema(mid20's) ndoa zenu ndizo zenye furaha?
Mdada aliyegonga 30, hawezi kuwa mke mwema/mama mzuri wa familia?
Ama its just your ego, hamtaki mtu atakayewashusha makofidensi?
kwa vijana wa mda huu usitegemee labda tafuta mzazi mwenzio..!!