Msimkatishe tamaa kuolewa kupo tu till 40 jamani shosti wanaosota miguu hujui ya moyo wakeMmmh...zidi kuomba sana kama nia yako ni ndoa. Kuna wadada nawafahamu. bado wanasugua miguu...na kweli wanaitaka ndoa balaa..wanakimbilia 30+...!
Msimkatishe tamaa kuolewa kupo tu till 40 jamani shosti wanaosota miguu hujui ya moyo wakeMmmh...zidi kuomba sana kama nia yako ni ndoa. Kuna wadada nawafahamu. bado wanasugua miguu...na kweli wanaitaka ndoa balaa..wanakimbilia 30+...!
Utampata tu my dia wanaosema ni ngumu hawajui maisha hao,hadi 40 wanaolewa itakuwa hiyo?Mi nna 26 nimezaa nikiwa na 21 na sijabahatika kuolewa so naweza kosa mchumba kwa sababu tayari nimezaa? So nikifika 30s sijapata mume
Mkuu above 30 hafundishikiki kabisa??mie najua we learn as we grow and love takes time...
Utampata tu my dia wanaosema ni ngumu hawajui maisha hao,hadi 40 wanaolewa itakuwa hiyo?
Bahati ya mwenzako........! *malizia*Waaambie hao,asha baraka ameolewa ndio itakuwa sie 
Chances za kuolewa ukiwa na mtoto ni ndogo sana, hasa umri ukishaenda. unajua vijana wa siku hizi wamekuwa na kasumba flani, hawataki kubeba *mizigo* unlike miaka ya nyuma, mtu angeweza kuoa mwanamke bila kujali ana familia au hana..!Msimkatishe tamaa kuolewa kupo tu till 40 jamani shosti wanaosota miguu hujui ya moyo wake
Bahati ya mwenzako........! *malizia*
..Tatizo nyie wenyewe ndio mnapaniki ovyo, hata sielewi ni kwa nini mnakuwa hivyo...!
..Mnataka perfect men, wakati nyie wenyewe hamko perfect..!
tatizo above 30 kashachezea migegedo mingi sanaaaa loh
alafu mnasahau kitu kimoja mwanamke akiza mid twenties mwili wake una kuwa na uwezo wa kurecover kwenye hali yake ya kawaida kirahisi zaidi kuliko above 30
hiyo kwa wanawake wa majuu sio wakibongo hawa wapenda hotchair